Kumbe unaweza kuwa financial free uzeeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe unaweza kuwa financial free uzeeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 1975, Jul 13, 2011.

 1. 1

  1975 Senior Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  90%ya watu wanapokuwa wazee hupata shida sana za kiuchumi na hii hufanya wawe ni watu wanaoumwamwa maramara kwa sababu ya msongo wa mawazo,wanakuwa ni watu wakuwaona watu wote ni wabaya hii ni kwa sababu tuu hawawapi pesa na mengine mengi.
  Bila shaka wewe hutopenda kuwa mzee wa aina hii,kwa nini basi usijiunge kwenye mtandao wa marafiki ambao huzalisha fedga kwa kutumia network marketing"PESA INAKUWA INAGENERATE MAISHA YOTE HATA BAADA YA WEWE KUFA" Ni biashara ambayo unatumia network uliyonayo sasa(contact za kwenye simu,facebook,emailbox,na ndugu ulionao).Rahisi kabisa Piga 0717031290 kwa maelezo zaidi.

  MTAJI NI CONTACT ZAKO
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mhhh! Kirahisi hivyo! Au ndo style mpya ya kuwaibia abiria!
   
 3. f

  fazili JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  au ndio ka-DECI kengine hako bwana
   
 4. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila mtu anatafuta pesa haiwezekani eti kuwe na mtu anagawa pesa zake kwa watu wanaotoa contact zao tu, hii ni zaidi ya DECI kwani anaglau DECI watu walikuwa wakipanda mbegu, kumbe hawa unapanda contact tu!
   
Loading...