Kumbe Unaweza Kulifinyanga Tatizo; Halafu wewe tena Ukaliondoa, na Bado Ukajisifu sana!!

Mchokoo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,179
1,579
Unatengeneza tatizo! Wakilalamika kwa miaka kadhaa! Unaanza kuiondoa hiyo shida. Wakati ukifanya hivyo kwa sababu ya ombwe la uelewa baadhi ya watu wanashangilia sana, hali inayokufanya ujisahau na kuanza kujisifia tena!
Sijui ni mazingaombwe?


Sent from my itel_it1701 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom