Kumbe umri sio Ishu, kikongwe wa miaka 100 na degree yake..!!

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,454
975
Nimeona habari hii kwenye website ya Millard Ayo.

Kila mmoja anatambua kuwa elimu haina mwisho na kadri miaka inavyokwenda watu wengi wamekuwa wakitambua nini maana ya elimu huku wengi wao wakiamua kurudi darasani ili kujiongezea ujuzi zaidi.

bibito.jpg
 
CC;Livingstone Lusinde a.k.a kibajaji.Aache kulia lia mara oooh! wazazi wangu walikufa sikuweza kwenda shule!!
 
Namshangaa sana kila siku ohooo wazazi walikufa mara ohooo sina elimu nabaki nikimshangaa sana.Mapato ya ubunge labda sasa angekuwa kalamba BA au Diploma.

CC;Livingstone Lusinde a.k.a kibajaji.Aache kulia lia mara oooh! wazazi wangu walikufa sikuweza kwenda shule!!
 
Nimeona habari hii kwenye website ya Millard Ayo.

Kila mmoja anatambua kuwa elimu haina mwisho na kadri miaka inavyokwenda watu wengi wamekuwa wakitambua nini maana ya elimu huku wengi wao wakiamua kurudi darasani ili kujiongezea ujuzi zaidi.

bibito.jpg

Kibajaji inabidi akasome sasa aondoe std7 yake anayoringishia kila siku bungen.
 
Back
Top Bottom