Kumbe ukioa/kuolewa anakuwa kama mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ukioa/kuolewa anakuwa kama mtoto

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zedikaya, Aug 16, 2011.

 1. Z

  Zedikaya Senior Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtoto mdogo wazazi hasa mama yake, yeye hutambua kuwa ni wake peke yake kwa ajili ya kumbeba na kumletea zawad na akifanya hivyo kwa wengine akagundua!! kilio cha hapo ikiambatana na kuzila we acha tu,
  hivyohivyo kwa mme/mke akigundua kuwa mwenzie kambeba au kampa jamaa/demu fulan zawad , eeh ! Inakuwa kama watoto tu,
  Pia mtu ukioa unakuwa kama mtoto wa chekechea kabisa kwan unanyoshewa nguo, unapelekew maj bafun ,unaulizwa kama unahitaj kusuguliwa mgongoni, unafungiwa kamba za viatu we acha tu,
   
 2. tpellah

  tpellah Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  C wote wanaopata services izo ulizosema,kuna madem wengne ni kauzu zaidi ya dagaa yan utafua mwenyewe,utanyoosha nguo na sometime hadi kupika utapika ndugu yangu
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Haya wee.
   
 4. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hawa ni wale wife materials. Kimsingi sio wanawake wote wakuolewa jamani ndugu zangu. Tuchunge sana tusiangukie humu. Wale wanawake wanokimbilia kuolewa na wamekaa kuolewa, wanavutia mara nyingi ndio sio wa kuolewa. Big hint hiyo take it. Naomba kuwakilisha.
   
Loading...