Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
UKAWA inasemwa ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Lakini kwa sisi wenye Akili tunajua kwamba Umoja huo ulikuwa na mpaka sasa ni danganya toto kwa kuwa hauna nia ya kudai Katiba ya Wananchi bali ni janja ya kutafuta huruma ya Wananchi tu. BASI!
1. Ushahidi wa kwanza ni kitendo chao cha kukimbia Mjadala wa Katiba Bungeni mwaka 2014 na kushindwa kuitetea hiyo Katiba wanayodai wanaipigania.
2. Hakuna Mwana UKAWA aliyewahi kutamka neno KATIBA YA WANANCHI baada ya Uchaguzi Mkuu 2015 zaidi ya kuendelea na maigizo ya kugomea Bunge na kupiga kelele bila nadhari!
3. Katiba wanayoipinga ndiyo iliyowaingiza Bungeni na hudai Katiba ni mbovu pale wanaposhindwa Uchaguzi tu! Kichekesho!
Wananchi hawatakubali kudanganywa tena 2020. UKAWA kwishney! Hampati kitu kabisaaaaaa!