Kumbe UDOM ina Fungu la Mwarabu, Mafisadi UDOM walijusahau wakazitafuna yote!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe UDOM ina Fungu la Mwarabu, Mafisadi UDOM walijusahau wakazitafuna yote!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Not_Yet_Uhuru, Jan 21, 2011.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wana JF;

  Kuna taarifa nimemegewa na jamaa wa ndani kabisa na UDOM, na pia anaijua issue yote toka Serikalini kuwa kuna Fungu kubwa la hela lililotolewa na Mwarabu ili kuiimarishwa UDOM kwa kuipiga tafu serikali ya CCM ili itumike kama mafanikio kielimu, ili izidi kuimarika na kupendwa, ila wao wakalifanyia uchakachuaji? Kweli kumbe sikio la kufa halina cha dawa. (Tutakumbuka kuwa UDOM haikuwa Sera ya CCM, bali hii ilikuwa Sera ya CDM, kubadili majengo yale kuwa Chuo Kikuu, ikatekwa na wahuni, CCM ili kujipatia kujitafutia kura).

  Fununu za ndani kabisa ya UDOM zinapasha kuwa, fungu alilotoa Mwarabu pamoja na majukumu mengine, ilikuwa pia kuwalipa wanafunzi mahitaji yao ilkiwa ni pamoja na hela za kujikimu, ambazo ndizo jamaa wanaohusika na Uhasibu UDOM wamekula bila kusaza. Mwarabu inasemekana amegoma kuendelea kutoa tena fungu, ndio pakacha limepasuka!

  Kuna fununu kuwa hata PM Pinda alilijua hili toka kipindi ila amewaendea Wana-UDOM kidiplomasia kuyeyusha hali isizidi kuwa tete, na ndipo akaamua kuwa-ghilibu kuwa AG (Mkaguzi Mkuu wa Serikali), atakwenda kufanyia Audit matumizi hayo. "Nakuambia, Jamaa (PM) anajua kila kitu, na hata JK mwenyewe anajua moto uliopo hapa, ndio maana hakukanyaga yeye, na inasemekana Mwarabu mwenyewe amegoma kutoa tena hela ndio maana ngoma imebuma" ..."Unaambiwa pia issue za Kidini zimetawala, Waheshimiwa wa juu jaribu, uwafikirie mtizamo wao utanikubali, kwa taarifa yako, kuna kanuni pale kuwa Wafanyakazi wengine hakuna kuvaa na Vimini, lazima kuishi kiislam, fuatilia utanielewa nachokisema!" jamaa alisisitiza kuonyesha kuwa anamaanisha usahihi wa alokuwa akiyasema.

  My Take:
  Hii ni hali inayohitaji kuangaliwa sana! Hiki hakitakuwa chuo cha Umma!
  Tunaomba ndani ya Jamvi, tunao wanataaluma wa habari weledi wa kufuatilia mambo na syndicates, zilizowekwa kinyumenyume kama hizi, walianzie kazi waje watujuze zaidi.

  Naomba kuwasilisha!!
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Ni kweli, kuna siku moja nilikuwa kwenye kistuli dereva mmoja akalalamika kuwa wakuu wanamnyanyasa kwa sababu wamejua anakula kiti moto!

  pia kuna wale jamaa wanavaa visuruali vimeishia chini ya magoti (siasa kali) nawaonaga wanaround round pale na magari yao makali - hilux double kebin up and down.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Looh!...SOME FISHY BUSINESS OUT THERE eeh?
  NYIE watu mtatufanya turudi kule kwenye TAMKO LA WAISLAMU tukarudie kusoma baadhi ya hoja na validity yake!
   
 4. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Majengo yote ya UDOM yamejengwa na masshirika ya hifadhi ya jamii, wanafunzi asilimia kubwa wanalipiwa na bodi ya mikopo isipokuwa wachache wanaojilipia wenyewe. Sasa hilo fungu la Mwarabu limeingia wapi jamani??? Vitabu pale UDOM vingi ni donation kutoka Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na ukicheki vingi ni vya 2007 na 2008 publication. Labda kama huyo mwarabu alitoa hela za kujengea msikiti kwakuwa waarabu hawana historia ya kuchangia elimu. Labda ulete data kamili shs ngapi na alipokea nani??
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Wanakichukia UDSM kwa sababu kilijengwa na Wayahudi.

  Wanakipendelea Udom kwa sababu kilijengwa na Waarabu.

  Full udini.
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  Alwaleed Bin Talal Foundation Donates $250,000 to University of Dodoma in Tanzania

  [​IMG]


  Alwaleed Bin Talal Foundation Donates $250,000 to University of Dodoma in Tanzania
  Alwaleed Bin Talal Foundation* chaired by HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, donated $250,000 for the construction of University of Dodoma, Dodoma City in Tanzania. The donation was made in response to a request by President Jakaya Mrisho Kikwete.
  HRH visited Tanzania in 2006 and met with President Kikwete at the State House. During the visit, Prince Alwaleed was presented with an honorary citizenship and a golden "Key to the City of Dar Es Salaam" by Mayor of the city, Mr. Adam Kimbisa in an official ceremony of investiture.
  Alwaleed Bin Talal Foundation – Lebanon works internationally to tackle poverty, provide rapid aid in cases of natural disasters and provide women and youth in the MENA region with economic and educational opportunities through strategic philanthropic investments in sustainable projects of the Foundation's various partner organizations. The Foundation also reframes perceptions of Islam and the West through dialogue, programs and educational centers around the world in order to promote a greater understanding between the different faiths and world views.
  HRH's philanthropic grants and donations span 61 countries ranging from Afghanistan to Senegal; from Gaza to The Gambia, totaling more than $2.4 billion over the last 30 years. HRH has established three Foundations to handle his philanthropic activities across the globe under the slogan "Commitment Without Boundaries": Alwaleed Bin Talal Foundation in Saudi Arabia (ABTF), Alwaleed Bin Talal Humanitarian Foundation in Lebanon and Alwaleed Bin Talal Foundation in Lebanon (ABTF – Lebanon). His foundations work locally, regionally and internationally to combat poverty, strengthen interfaith and intercultural dialogue and empower women and youth.
  * Alwaleed Bin Talal Foundation- Lebanon
  The Middle East Times - International

  NB: Ndiyo hela iliyotoka kwa mwarabu tuache majungu! labda kama kuna nyingine ilitolewa ikatumika kujenga msikiti pale Dodoma! Mwarabu hana shida ya kukusomesha we mwafrika!
   
Loading...