Kumbe tunaachana na Maamuzi ya Hayati na kufanya aliyoyakataa ili tupate kirahisi Pesa za Mabeberu na watufanye watakavyo?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla.

Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao hao Mabeberu mnaowakumbatia ili mruhusu na Ushoga na kwa haraka sana Soko la Yule Golikipa wa Klabu Moja kubwa na Kongwe Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati ( nimemsahau Jina ) liwe juu na Wapatikane na wengine wengi kutokea Mashuleni, Vyuo Vikuu na mpaka Maofisini pia.

Kwa Dhambi hii ya Unafiki sitowapenda.
 
Hahahahahahaaa!!! Kwani lazima? Au katiba inasemaje kuhusu ilo?
 
Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla.

Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao hao Mabeberu mnaowakumbatia ili mruhusu na Ushoga na kwa haraka sana Soko la Yule Golikipa wa Klabu Moja kubwa na Kongwe Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati ( nimemsahau Jina ) liwe juu na Wapatikane na wengine wengi kutokea Mashuleni, Vyuo Vikuu na mpaka Maofisini pia.

Kwa Dhambi hii ya Unafiki sitowapenda.
Halafu mabeberu anaona wanampenda sana kumbe kuna mikataba mlango wa nyuma nchi inakamuliwa vizazi na vizazi
 
Nyie mnapendwa na Wachina, shaurini muendelee kukopeshwa na Wachina hao ndio ndugu zenu hata kkiwaangalia macho mnafanana.
 
Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla.

Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao hao Mabeberu mnaowakumbatia ili mruhusu na Ushoga na kwa haraka sana Soko la Yule Golikipa wa Klabu Moja kubwa na Kongwe Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati ( nimemsahau Jina ) liwe juu na Wapatikane na wengine wengi kutokea Mashuleni, Vyuo Vikuu na mpaka Maofisini pia.

Kwa Dhambi hii ya Unafiki sitowapenda.
NGO za Ushogga zimerejea kwa kasi kubwa sana.
Madini wanajichotea na kubeba makinikia kwenda kwao.
Bwawa la Nyerere tunalisagia kunguni kimtindo.
Wazazi tunawarudisha shule wakasome na vitoto vyetu ili wavishawishi navyo vibebe mimba.
Anyway tuendelee kuomba sana huu upepo utuache salama na familia zetu maaana tumepoteza dirra.
 
Dah......

Ew_67mEWUAUtjel.jpg
 
Bora beberu anayetoa na kukupa masharti ya demokrasia na kusomesha wazazi kuliko Mchina anayekupa bila hayo masharti lakini mwishoni anachukua sehemu ya nchi kuimiliki
 
Sawa genta umeeleweka, kila mtu ana namna yake ya kuongoza ni vile tuu unakuta anakosa nguvu au madaraka.
 
Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla.

Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao hao Mabeberu mnaowakumbatia ili mruhusu na Ushoga na kwa haraka sana Soko la Yule Golikipa wa Klabu Moja kubwa na Kongwe Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati ( nimemsahau Jina ) liwe juu na Wapatikane na wengine wengi kutokea Mashuleni, Vyuo Vikuu na mpaka Maofisini pia.

Kwa Dhambi hii ya Unafiki sitowapenda.
Uswahilina ni kipaji, mswahili hataki kuumiza kichwa raha yake asukumwe kwenye bembea kama mtoto....rip JPM.
 
NGO za Ushogga zimerejea kwa kasi kubwa sana.
Madini wanajichotea na kubeba makinikia kwenda kwao.
Bwawa la Nyerere tunalisagia kunguni kimtindo.
Wazazi tunawarudisha shule wakasome na vitoto vyetu ili wavishawishi navyo vibebe mimba.
Anyway tuendelee kuomba sana huu upepo utuache salama na familia zetu maaana tumepoteza dirra.
Hili la mzazi kwenda kusoma na watoto badala ya watu wazima wenzie, linafikirisha sana......
 
Hivi huyo jiwe alikuwa Katiba ya Tanzania mpaka tumfate alichosema?

Kwanini wasu k mnakuwa wajinga kiasi hiki?

Nchi ina sera, sheria, Katiba na taratibu zake.

Hatuwezi kuwa idiots kufuata fikra za mtu wakati tuna taratibu za nchi.

Mbona Mkoa wengi ila werevu hakuna?
 
hivi zile mashine zakupigia nyungu bado zimefungwa pale nanii?............tutaendelea kuwalaumu mabeberu mpk yesu anarudi
 
Back
Top Bottom