Kumbe tumekopa ili tununue ndege cash!!!

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
6,062
10,461
Serikali imejidadavua kuwa imenunua ndege sita kwa fedha taslimu (cash) na kwamba Watanzania tutembee vifua wazi. We are donor country!!!!. Tunajiuliza, fedha hiyo imetoka wapi wakati makusanyo (revenue) yetu ni wastani wa trioni 13 kwa mwaka!! Asimilia zaidi ya 60 ya mapato hayo huenda kwenye matumizi ya kawaida ya serikali (recurrent expenditure). Sasa hizi za kununulia ndege (development expenditure) tena nje ya bajeti iliyopitishwa na bunge imetoka wapi? Tukiangalia deni la taifa, limepaa sana hadi kufikia trioni 61!!!!! Hivyo, hii tutakosea kutafsiri kuwa tulikopa fedha ili kununua, pamoja na mambo mengine, ndege kwa fedha taslimu (cash) ?!?!
 
Huyu jamaa misifa tu!Unakopa pesa watoto wapate ada waende shule halafu unajisifia umenunua pikipiki kwa cash????Damn,hapo bila kukopa watoto wasingeenda shule,hivyo usingeweza kununua pikipiki ukaacha watoto nyumbani!
 
Gambia's Justice Minister, Abubacarr Tambadou, has revealed that the country's ex-president Yaya Jameh stole $50 million dollars before leaving office.

He says Jameh stole the money via the country's telecoms company.

Jameh fled for exile in Equatorial Guinea in January after 22 years in power.

The court has frozen all Jameh's assets that are still left in the Gambia.
 
Serikali imejidadavua kuwa imenunua ndege sita kwa fedha taslimu (cash) na kwamba Watanzania tutembee vifua wazi. We are donor country!!!!. Tunajiuliza, fedha hiyo imetoka wapi wakati makusanyo (revenue) yetu ni wastani wa trioni 13 kwa mwaka!! Asimilia zaidi ya 60 ya mapato hayo huenda kwenye matumizi ya kawaida ya serikali (recurrent expenditure). Sasa hizi za kununulia ndege (development expenditure) tena nje ya bajeti iliyopitishwa na bunge imetoka wapi? Tukiangalia deni la taifa, limepaa sana hadi kufikia trioni 61!!!!! Hivyo, hii tutakosea kutafsiri kuwa tulikopa fedha ili kununua, pamoja na mambo mengine, ndege kwa fedha taslimu (cash) ?!?!
Kondoo ndo mjinga kati ya ninaowajua, nafikiri ww nijinga zaidi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali imejidadavua kuwa imenunua ndege sita kwa fedha taslimu (cash) na kwamba Watanzania tutembee vifua wazi. We are donor country!!!!. Tunajiuliza, fedha hiyo imetoka wapi wakati makusanyo (revenue) yetu ni wastani wa trioni 13 kwa mwaka!! Asimilia zaidi ya 60 ya mapato hayo huenda kwenye matumizi ya kawaida ya serikali (recurrent expenditure). Sasa hizi za kununulia ndege (development expenditure) tena nje ya bajeti iliyopitishwa na bunge imetoka wapi? Tukiangalia deni la taifa, limepaa sana hadi kufikia trioni 61!!!!! Hivyo, hii tutakosea kutafsiri kuwa tulikopa fedha ili kununua, pamoja na mambo mengine, ndege kwa fedha taslimu (cash) ?!?!
Hahaaaa duh kweli tuna mfalme Juha. Sasa unakataa kukopa ndege ila unakopa pesa ukanunue ndege....??

Lakini sawa, ukipewa pesa ndio vizuri maana chenji unabaki nayo
 
mimi siku zote husema biashara ni faida si uzuri wa duka !
hii midege itachukua takriban miaka mitano kurudisha gharama za ununuzi endapo biashara itakuwa nzuri !
sasa umechukua mkopo wenye riba kubwa, hadi 2024 fikiria riba na hapo hujaanza kuingiza faida plus service..
Ile pangaboy moja tu tuliinunua kwa bilioni 140 badala ya bilioni 60..
CCM wanadai tayari wameingiza mabilioni ya faida !
kkkkkkk !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali imejidadavua kuwa imenunua ndege sita kwa fedha taslimu (cash) na kwamba Watanzania tutembee vifua wazi. We are donor country!!!!. Tunajiuliza, fedha hiyo imetoka wapi wakati makusanyo (revenue) yetu ni wastani wa trioni 13 kwa mwaka!! Asimilia zaidi ya 60 ya mapato hayo huenda kwenye matumizi ya kawaida ya serikali (recurrent expenditure). Sasa hizi za kununulia ndege (development expenditure) tena nje ya bajeti iliyopitishwa na bunge imetoka wapi? Tukiangalia deni la taifa, limepaa sana hadi kufikia trioni 61!!!!! Hivyo, hii tutakosea kutafsiri kuwa tulikopa fedha ili kununua, pamoja na mambo mengine, ndege kwa fedha taslimu (cash) ?!?!
Hivi wewe economics yako ni ya wapi; LSE, Yale Stanford au Harvard? Economics tuliyosoma sisi inatufundisha kuwa ukikopa, ulichokopa ni miliki yako. Ukilipa, ulicholipa ni miliki ya aliyelipwa. Hivi economics uliyofundishwa wewe inatuchambuliaje kuhusu Tanzania kukopa pesa kwa ajili ya maendeleo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom