Kumbe TRL (RITES)Bado inapeta japo tulitangaziwa wamesitishiwa mkataba na serikali!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ukistaajabu ya Mussa utashangaa ya Firauni Kumbe kujigamba kote kwa serikali kwamba imesitisha mkataba na RITES TRL kumbe ilikuwa danganya toto!!Wahindi wana peta kama kawa hakuna kilichositishwa waondo wana manage kampuni kama mwanzo!!Serikali hii sirikali!!:angry:
 
Back
Top Bottom