Kumbe TRL ilikuwa inamilikiwa na watanzania na siyo Wahindi!!

KakaKiza habari kama hizi zinatonesha mioyo yetu zaidi.

Ajabu come 2015 watanzania watawapa tena kura. Hivi watanzania tukiwanyima kabisa kura hawa wezi NEC watachakachuaje?

Mkuu tatizo njaa ndo inatufanya tununuliwe!
 
Nachokijua haki aipotei bure ipo siku haki urudi kwa mwenyewe kinajalisha sana ni mda na nikwa njia gani unatakakuirudisha hiyo haki!!Nalazima kurudisha haki nilama utumie gharama!!
 
Habari zilizopo TRL imepakia injini zao nakuzipeleka kwao India huku ikiwa Imeviacha vichwa vya train 10 kati ya vichwa chakavu vilivyoletwa na kampuni hiyo kwa madai wao siyo wamiliki wa Train hizo 10 baada ya kuulizwa wakatamka ni za vigogo!!Baada yakuufata uongozi wa juu TRL ukawambia injini tulizoziacha siyo zetu bali ni za Vigogo wa nchi yenu sisi zakwetu tumeisha zipakia na kwenda India.Ulipofuatwa uongozi waserikali ukajiuma bila kutoa Jibu ila kwa mjibu Injini hizo ni za Kigogo mstaafu serikalini kwa ngazi ya Juu mwenye migodi!
Inasemekana hata mswaada wakununua vitu vya mitumba uliasisiwa kwa makusudi na wanasubili upite serikali ije inunue hizo injini!!!

hizo injini ni za Mkapa subirini time will tell. Quote me right
 
Back
Top Bottom