Kumbe taasisi ya urais ni rais na makamu wake, waliosalia ni vibarua?

mechard Rwizile

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
1,571
873
Nilijua kuwa taasisi ya urais ni baraza la mawaziri, kumbe wale wote ni vibarua, taasisi nzima ni rais na makamu wake. Kwa tafsiri hii ya Rais aliyoitoa jana, kuna kila sababu kuanzisha mchakato wa katiba mpya ili kuondokana na maisha ya taifa kuwa mikononi mwa watu wawili.

Kuanzia jana, ile dhana ya "washauri wa rais wanampotosha" haina mashiko tena. Kosa likitendwa kwenye Halmashauri ya wilaya fulani, taarifa itolewe kwa rais naye alitolee mwelekeo.

Nyerere bwana, ndio maana baadhi wanatamani awe mtakatifu, ni kwa sababu kama hizi, hakutaka nchi iongozwe na mtu, alitaka iongozwe na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakika majuto ni mjukuu
 
Kweli hujamuelewa MKUU, itafakari zaidi kauli yake ndo uandike kuliko kuandika bila kutafakari kauli yake Kwa kina
 
Jana hata mm nimeduwaa
Hasa pale aliposema .wanao fahamu matatizo ya wananchi ni Rais, mbunge na diwani
Kwa mantiki hiyo, nn kazi ya mkuu wa mkoa, wilaya
 
Mmm mtu anae mita mtu mtakatifu......huwa ananipaga wakati mgumu sana.
 
Back
Top Bottom