Kumbe St. Augustine University of Tanzania (SAUT) ni moto wa kuotea mbali

Senetor;sasa mkuu hata hii udsm ya leo unataka kuifananisha na chuo cha kipuuzi kama saut?Senetor, kama umesoma hujastarabika. Kwako wewe Saut ni chuo cha Kipuuzi? Kama umesoma UDSM, na chenyewe hakikuwa hivyo kilipo katika umri wa SAUT. Kwa hiyo wewe unajiona ni bora zaidi ya wale waliosoma vyuo vingine tofauti na UDSM? Jiangalie maisha yako, na utendaji kazi wako, je ni bora zaidi ya hao waliyosoma vyuo vingine? Acha kubeza SAUT ndugu, sema ni chuo kidogo bado kinakuwa.
Kaka UDSM imebakia jina 2, SAUT ni chuo kichanga bt ktk quality ya education wanatoa elimu bora zaidi uki linganisha na UDSM japo kimeanza zamani, 2nahtaji quality not jina au ukongwe wa chuo.
 
Compare apple to apples not apples to oranges. Hii mijadala ya kulinganisha vyuo haina maana kwa kuwa vina tofauti kubwa sana kimuundo, umiliki, mitaala na historia. siiibezi SAUT kuwa siyo chuo bora lakini kukifananisha na UDSM kwa sababu ya wabunge waliopo bunge la sasa hivi haina 'correlation' yoyote. Leo hii kuna wabunge wenye elimu ya msingi 20 hivi kwenye bunge hilihili, je ina maana kuwa elimu ya msingi ni bora kuliko vyuo ambavyo havina wahitimu wake bungeni?
 
Ki ukweli hata mi nashangaa,kwa mfano watu wamejaribu kulngansha mzumbe na ud,hv n vyuo v2 tofaut,mzumbe n chuo cha utawala,kina koz nyng tofaut na ud lakn bado wat wanavfanansha,ubora wa chuo sio ukongwe,ni quality ya education na aina ya coz pia,atleast saut na ud zna coz nyng znazoingiliana lakn bado ud n bora kwa saut,historia inaibeba zaid ud coz serikali ilikuwa inakeibeba sana kile chuo
 
nadhani kuna issue ya 'mtu' na 'chuo'. hao uliowataja hata kama wangesoma chuo gani still wangepafom tu.
sure i concur with you guy, you are a real great thinker. Kuna hali ya inborn capacities ambazo wakati mwingine haziwezi fifishwa na aina ya shule au chuo mtu atakaposoma.
 
Hatuwezi kufananisha moja kwa moja vyuo hivyi. Ud ni kikongwe na kimetoa na kinaendelea kutoa watu na wataalamu maili wengi.kwaupande mwingine ni wazi kuwa saut kinakuja vizuri kwa kutoa viongozi na wataalamu maili ktk fani nyingi. Niwazi mafanikio upendeza.
 
Yaleyale ya Chama Cha Dem .... na ndo nani yule vile ashaanza kuwafundisha mambo ya siasa ina maana kati ya wataalamu wote umeona wanasiasa ndo wanafaa mbona hujaongelea madaktari, wahandisi na wengine wengi au na wewe ni..........
 
Duh!hivi saut wamefanya research ngap vile?

Kwa kweli hiyo ni kasumba, eti SAUT wamefanya research ngapi. Maoni ya mdau juu ya ubora wa waahitimu wake ni katika kujenga hoja kwa wananchi na wakawapa ridhaa ya kuwaongoza na pia katika michango yao bungeni. Sasa Senator anakuja na idadi ya research zilizofanywa na SAUT which sounds a fallacy by the way.
 
How do we measure QUALITY? in simple terms we measure it, in terms of the quality of the final product! does the graduate deliver? does he have the ability & capability in executing tasks? Is he creative and innovative? Can he work within tight deadlines and so on and so forth! Can he write technical reports? Can he argue constructively citing tangible and noble references? Benchmarks? Nilikuwa napita tu...
 
Vyuo vikuu vya umma vina changamoto kubwa manake walimu wazuri wengi wanakimbilia vyuo binafsi, lakini hili linasababishwa na serikali kutokuwajali watumishi wake..

Mfano Prof Baregu
 
Back
Top Bottom