Kumbe sio Mulugo tu ambaye haelewi Muungano wa Tanzania hata ilan ya CCM

Vijijini Lawama

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
298
73
Kuna kitu cha kushangaza katika ilan ya uchaguzi ya CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005.

katika sura ya nane MAENEO MENGINE MUHIMU Demokrasia na maendeleo katika eneo linalosomeka "chama chamapinduzi na Muungano".

katika kifungu cha 141 kinasomeka hivi "Chama Cha Mapinduzi kimekuwa muhimili wa Muungano tangu vyama vya TANU na Afro viungane tarehe 5 Februari 1977. Muundo wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni muungano wenye serikali mbili, Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Zanzibar"

My take: hivi tujiulize je ni kweli serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni ni muungano wenye serikali mbili, serikali ya muungano wa Tanzania na serikali ya Zanzibar? ndg wanajamvi naomba kufafanuliwa huu muungano wa Tanzania ulitokana na nchi zipi tena zilizoteengeneza huu muungano? Je kuna nchi zaidi ya mbili zinazotengeneza Jamhuri ya muungano ya Tanzania?
 
Wako wengi Mkuu Mulugo, Muhongo, sijui na nani tena ndio wale wale wa Serikali ya DHAIFU ambayo inaendeleza madudu katika kila sekta nchini.
 
Sijui huo Muungano kabla ya Bara Kuungana na Zanzibar ulikuwa ni muungano wa nini na nini. Tatizo kubwa hizi Katiba wanaopewa kuziandaa ni watu kama mimi hivi kwasababu ya kubebwa baadaye zinakuwa na kasoro ambayo ni aibu kuisemea. Ngoja waje na majibu watakwambia ni typing error.
 
Kwanini sasa na majirnai zetu wasituone vituko, kwa miaka mingapi sasa hakuna aliyewahi on ktk CCM.Kila kukicha mtu akiangalia CCM anoan uozo, uovu, na barbarism,primitive mindsets ktk hii chama.
 
Kuna kitu cha kushangaza katika ilan ya uchaguzi ya CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005.

katika sura ya nane MAENEO MENGINE MUHIMU Demokrasia na maendeleo katika eneo linalosomeka "chama chamapinduzi na Muungano".

katika kifungu cha 141 kinasomeka hivi "Chama Cha Mapinduzi kimekuwa muhimili wa Muungano tangu vyama vya TANU na Afro viungane tarehe 5 Februari 1977. Muundo wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni muungano wenye serikali mbili, Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Zanzibar"

My take: hivi tujiulize je ni kweli serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni ni muungano wenye serikali mbili, serikali ya muungano wa Tanzania na serikali ya Zanzibar? ndg wanajamvi naomba kufafanuliwa huu muungano wa Tanzania ulitokana na nchi zipi tena zilizoteengeneza huu muungano? Je kuna nchi zaidi ya mbili zinazotengeneza Jamhuri ya muungano ya Tanzania?

hili lichama halian tofauti na panga butu, kenye kutu kuingizwa theatre ili Daktari wa upasuaji alitumie mkata mgonjwa .
 
kweli watu wangu nimekuwa nikishangaa hawa jamaa hata wanashindwa kuuelezea muungano. Angalia hata kwenye mashindano ya CECAFA, tulikuwa tunaambiwa Zanzibar wanacheza na Tanzania na kubwa zaid ni pale nyimbo za taifa zilipopigwa Wazanzibar wana wimbo wao kama taifa na sisi kama Watanganyika au kama wakubwa wa CCM wanavyopenda kuita Tanzania bara tunaimba wimbo wa taifa wa tanzania. To me it was a night mare na hasa pale mwanangu aliponiuliza swali la kwamba mbona zinapigwa nyimbo mbili za taifa wakati sisi ni nchi moja?
 
Kuna kitu cha kushangaza katika ilan ya uchaguzi ya CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005.

katika sura ya nane MAENEO MENGINE MUHIMU Demokrasia na maendeleo katika eneo linalosomeka "chama chamapinduzi na Muungano".

katika kifungu cha 141 kinasomeka hivi "Chama Cha Mapinduzi kimekuwa muhimili wa Muungano tangu vyama vya TANU na Afro viungane tarehe 5 Februari 1977. Muundo wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni muungano wenye serikali mbili, Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Zanzibar"

My take: hivi tujiulize je ni kweli serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni ni muungano wenye serikali mbili, serikali ya muungano wa Tanzania na serikali ya Zanzibar? ndg wanajamvi naomba kufafanuliwa huu muungano wa Tanzania ulitokana na nchi zipi tena zilizoteengeneza huu muungano? Je kuna nchi zaidi ya mbili zinazotengeneza Jamhuri ya muungano ya Tanzania?

Kijana hata kama unichukia sana CCM (nami naichukia) usiwe mvivu wa kusoma na kuelewa mantiki ya maneno yalitotumiwa.

Imesema "ni muungano wenye serikali mbili"; haijasema "ni muungano unaotokana na serikali mbili".

Na kwa kuwa muktadha ni muundo wa Jamhuri ya Muungano, ni kitu kilicho cha kweli kuwa ndani ya Jamhuri ya Muungano utakuta Serikali ya Jamhuri ya Muungano w Tanzania na Serikali ya Zanzibar.

Tatizo lako (na la hao wengine wenye kukuunga mkono lakini "wavivu" wa kusoma) liko wapi katika kuelewa?
 
Hata mie siipendi CCM lakini katika hiyo sentensi, hakuna "mulugolism" iko sawa kabisa, kama ana hoja nyengine ailete. Binafsi pia nashangazwa na watu wanosapoti hata u..mbavu au uzushi huwa wanawaza nini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom