Kumbe serikali ina amini katika ushirikina badala ya kutafuta suluhu kisayansi?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1531493190097.jpg
Baadhi ya wazee wa kimila mkoa WA Mbeya walipokua wakifanya maombi kwenye eneo la mlima Iwambi nje kidogo ya jiji la Mbeya siku ya jana kabla hawajaungana na viongozi wa dini kuombea mwaka huo kuondokana na ajali.
 
Hiyo ibada haina tofauti na imani waliyo nayo viongozi wetu kwenye mwenge. Kwangu mimi mwenge na hiyo ibada hapo sioni tofauti.
 
Hizo ni imani pia wana haki nao kuombea taifa kama wafanyavyo watu wa dini.
 
Kwa hio serikali wameridhia maombi hayo kufanywa? Kwenye zama hizi? Watatucheka sana watu wa mataifa!
 
Back
Top Bottom