Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Mkuu pombe bado ipo kichwani, mbona jamaa kaeleza vizuri tu, unachotaka kupotosha ni nini sasa? Hakwenda hospital kwa shinikizo la moyo ila alikuwa hajisikii vizuri wakampima na kumkuta na malaria, hiyo cardiac imekuja baadae tena hata manesi hawakujua coz walimkuta tayari ameshafariki. Sasa ulikuwa unataka wafanyaje? wampeleke muhimbili akiwa maiti wakaitibu moyo?Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa
Mbili, issue cardiac nilitegemea angepelekwa Hospitali yetu ya mabingwa wa moyo pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute na sio Hospitali Mzna
Tungeacha tu kujadili tumzike Mzee wetu tuendelee na mengine maana tunazidi kuleta mkanganyiko
Tuacheni kupotosha, mwacheni azikwe na apumzike kwa amani. Tuchukue kile tulichoambiwa na watu wake wa karibu hadi hapo watakapo sema kingine.