Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 664
- 900
Umeambiwa hivi ili binadamu afe nilazima pawepo na shambulio la moyo, watu wanachotafta ni hilo shambulio la moyo limesababishwa na nini?
Shambulio la Moyo linasababishwa na sababu lukuki zikiwemo kuwepo kwa historia ya magonjwa ya Moyo katika miaka ya karibuni au wakati huo huo, sababu nyingine ni matatizo ya damu kuganda pasipo kufuata utaratibu wa Mwili(Coagulation disorder or Coagulopathy) na Nyingine uwepo wa Mafuta mabaya (Bad cholesterols) kwenye mishipa ya damu iliyopo kwenye Moyo na sehemu zingine za mwili..!