Elections 2010 Kumbe saa ya ukombozi iliwekwa betri za kichina!!!!

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Hatimae imefahamika kwamba kumbe ile tuliyokuwa tunaambiwa ni saa ya ukombozi ama ni ya kichina au iliwekwa betri za kichina baada ya kuonekana mwendo wake kusuasua kiasi cha kutishia ule mtiririko wa kwamba siku moja ni saa 24!!! Hadi inafika saa 10 jioni, saa ya ukombozi ndo kwanza ilikuwa inaonesha saa 6 mchana jambo lililotia shaka kwamba huenda betri za saa hiyo zimeishiwa nguvu na hivyo kuufanya mshale wake wa sekunde kutembea kwa mwendo wa mdebwedo mithili ya ule mshale wa saa!!! Hofu ya wale waliokuwa wanaiamini saa ya ukombozi ni kwamba huenda kuna mjanja mmoja ambae badala ya kununua betri kutoka kwa authorised dealers; mjanja huyo akaenda kununua kwa wamachinga wa pale mchikichini!!

Alamsiki, lakini nasikia Dr. Slaa is badly defeated pale Dom na wilaya zake huku wakielekea kugalagazwa kule Kahama!!!!Hata hivyo, don' mind abt hayo matokeo kwani my thread here was just abt saa ya ukombozi ambayo iliwekwa betri za kichina!
 
OHOOO POOR YOU ONE OF THOSE CRAPS

Because hypocrisy stinks in the nostrils one is likely to rate it as a more powerful agent for destruction than it is.
 
kikwete & co, wameshaisoma namba, wanajua ni jinsi gani pressure iko juu, wanatumia nguvu sana kuchukua majimbo
 
Dont argue with an idiot

Sio mgeni wa JF kwahiyo nashangazwa ninapokutana na kauli za kiungwana kutoka kwa wana-CHADEMA lakini sipati shida hata punje ninapokutana na kauli kama zako!!! Mie nazungumzia saa ya ukombozi iliyowekwa betri za kichina, inakuwaje mkuu unatokwa na povu mdomoni?!Ni saa jamani, saa ya nini kukatishana stimu za kupata usingiz mwololo!!!!!!
 
Hatimae imefahamika kwamba kumbe ile tuliyokuwa tunaambiwa ni saa ya ukombozi ama ni ya kichina au iliwekwa betri za kichina baada ya kuonekana mwendo wake kusuasua kiasi cha kutishia ule mtiririko wa kwamba siku moja ni saa 24!!! Hadi inafika saa 10 jioni, saa ya ukombozi ndo kwanza ilikuwa inaonesha saa 6 mchana jambo lililotia shaka kwamba huenda betri za saa hiyo zimeishiwa nguvu na hivyo kuufanya mshale wake wa sekunde kutembea kwa mwendo wa mdebwedo mithili ya ule mshale wa saa!!! Hofu ya wale waliokuwa wanaiamini saa ya ukombozi ni kwamba huenda kuna mjanja mmoja ambae badala ya kununua betri kutoka kwa authorised dealers; mjanja huyo akaenda kununua kwa wamachinga wa pale mchikichini!!

Alamsiki, lakini nasikia Dr. Slaa is badly defeated pale Dom na wilaya zake huku wakielekea kugalagazwa kule Kahama!!!!Hata hivyo, don' mind abt hayo matokeo kwani my thread here was just abt saa ya ukombozi ambayo iliwekwa betri za kichina!

Watu kama hawa ndio wasaliti wa nchi hii!!! Huo upuuzi wako unaonaje ukituondolea hapa jamvini?
 
Sio mgeni wa JF kwahiyo nashangazwa ninapokutana na kauli za kiungwana kutoka kwa wana-CHADEMA lakini sipati shida hata punje ninapokutana na kauli kama zako!!! Mie nazungumzia saa ya ukombozi iliyowekwa betri za kichina, inakuwaje mkuu unatokwa na povu mdomoni?!Ni saa jamani, saa ya nini kukatishana stimu za kupata usingiz mwololo!!!!!!

crap
 
Kweli anaburuzwa wala sio uwongo,bora hata Lipumba,na Jk anashinda,i don care bout matusi kwani hamna tusi jipya but the truth itabaki palepale kwamba Jk bado twamuhitaji!
 
Madrasa nini ile? Ngoja niweke kwa nini maana nitafungiwa.

Jamaa kajitahidi kuonyesha jinsi kosa kubwa sana lililofanyika kwa wazazi wake kutokutumia Durex.

Kabwabwaja sasa acha akalale salama na ulimbukeni wake.

Ingelikuwa CCM ni dini, basi huyu angelienda na Mabomu pale ofisi za Chadema na kujilipua.
 
Inaonekana kama imegeuka kuwa saa ya ushindi wa kishindo kwa CCM....
uuuuuwwwiiiiii!!!
 
Kweli anaburuzwa wala sio uwongo,bora hata Lipumba,na Jk anashinda,i don care bout matusi kwani hamna tusi jipya but the truth itabaki palepale kwamba Jk bado twamuhitaji!

Msipomuhitaji mabazazi kama nyie atamuhitaji nani.
 
Inaonekana kama imegeuka kuwa saa ya ushindi wa kishindo kwa CCM....
uuuuuwwwiiiiii!!!

Watu wameshachukua Kawe (Oysterbay, Masaki, Msasani, Mbezi Beach, Salasala, n.k), Mwanza city, Arusha city, Mbeya city, Moshi Municipality, Iringa Municipality, Musoma and the list goes on. Guess wamemuachia wapi Kikwete, Tandahimba???

Oh my God, Makamba hana kazi ni lazima ajiuzulu.
 
The question to me ni umechukua jimbo gani, sio jimbo tu ili mradi jimbo. Ndo mtakapojua kumbe watu wanafanya research kabla hawajaenda kwenye uchaguzi sio wanaenda kichwa kichwa.

Jeshi zuri ni lile linalotarget strongholds sio unapiga randomly. Hao ndo CHADEMA bwana, chama kimetoka from nowhere mpaka kugaragaza mafisadi!
 
Wametangazwa na magazeti na vyombo vingine vya habari utafikiri watashinda, kumbe ni sawa tu na Lipumba ambaye alikuwa hatangazwi kama slaa kwenye magazeti ya akina mwananchi, Aibu. Halafu kuna kitu kimoja kimenishangaza sana, CUF walikuwa wakikabana na polisi/tume ya uchaguzi-waliambiwa wanaleta fujo/chama cha fujo kwenye vyombo vya habari lakini chadema wanayoyafanya mwaka huu wanaonekana wanadai haki yako, this is stupidy,
 
HAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA, NO COMMENT.

KIKWETE HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Hatimae imefahamika kwamba kumbe ile tuliyokuwa tunaambiwa ni saa ya ukombozi ama ni ya kichina au iliwekwa betri za kichina baada ya kuonekana mwendo wake kusuasua kiasi cha kutishia ule mtiririko wa kwamba siku moja ni saa 24!!! Hadi inafika saa 10 jioni, saa ya ukombozi ndo kwanza ilikuwa inaonesha saa 6 mchana jambo lililotia shaka kwamba huenda betri za saa hiyo zimeishiwa nguvu na hivyo kuufanya mshale wake wa sekunde kutembea kwa mwendo wa mdebwedo mithili ya ule mshale wa saa!!! Hofu ya wale waliokuwa wanaiamini saa ya ukombozi ni kwamba huenda kuna mjanja mmoja ambae badala ya kununua betri kutoka kwa authorised dealers; mjanja huyo akaenda kununua kwa wamachinga wa pale mchikichini!!

Alamsiki, lakini nasikia Dr. Slaa is badly defeated pale Dom na wilaya zake huku wakielekea kugalagazwa kule Kahama!!!!Hata hivyo, don' mind abt hayo matokeo kwani my thread here was just abt saa ya ukombozi ambayo iliwekwa betri za kichina!

Pumba.................................u!!!!
 
You might be one of the chinese batteries zinazochelewesha saa ya ukombozi....
 
Back
Top Bottom