Kumbe rais huwa anaenda marekani kujirusha na wasanii hivi

satellite

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
616
164
Ziara za muheshimiwa rais kumbe ndo huwa zinaishia kwa kukutana na wasanii na wanasoka



Kikwete.jpg
 
*** Hapana; Sipendi safari zake lakini hapo wamekutana London, Kikwete on transit na david beckham karudi London kukimbiza Mwenge wa Olympics

Kwahiyo wamekutana kwa bahati hawakupanga kukutana

Hapo tuache fitina kidogo ...
 
*** Hapana; Sipendi safari zake lakini hapo wamekutana London, Kikwete on transit na david beckham karudi London kukimbiza Mwenge wa Olympics

Kwahiyo wamekutana kwa bahati hawakupanga kukutana

Hapo tuache fitina kidogo ...


We ni msemaji wa IKULU?aliyekwambia hiyo picture imepigwa london nani?
 
We ni msemaji wa IKULU?aliyekwambia hiyo picture imepigwa london nani?

Nenda kwa Michuzi Blog utaona kuwa Rais alikuwa on Transit na David Beckham hayuko USA yuko UK na nimekupa sababu

Na pia kamualika Tanzania kutembelea

Acha Uzushi; tuwe wakweli kidogo...
 
ni international stars hao? ungesema labda filbert bayi ingefanana fanana


Kookolikoo nimewataja hao kwa vile wako Timu za taifa na still nikataja rais yeyote wa Afrika mashariki ambao ni ukanda wetu ili kulinganisha japo ndani ya ukanda wetu kama hili linawezekanika,naamini ni ngumu kutokea
 
Nadhani labda inaweza ikawezekana kwa Mzee Kibaki akikutana na Hashim pale airport VIP lounge akapenda kumsikia akisema kitu au hata kumualika aende Kenya na team yake ya NBA wakatembelee Kenya na kuwapa hamasa vijana wake na kufanya utalii pia kuitangaza Kenya!sioni tabu sana!!
 
hiyo sio coincidence,beks kakatiwa mkwanja wa walipa kodi kuongea na m.kwere,.beks hana mda mchafu kuongea na hiyo n*zi,naona anamjibu obama coz juzi alipiga picha na timu ya la galaxy..na huyo mama anamtazamaje huyo player?m.k.were atakuja juta ndoa itakapoanza migogoro
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom