ziara za muheshimiwa rais kumbe ndo huwa zinaishia kwa kukutana na wasanii na wanasoka
View attachment 54114
*** Hapana; Sipendi safari zake lakini hapo wamekutana London, Kikwete on transit na david beckham karudi London kukimbiza Mwenge wa Olympics
Kwahiyo wamekutana kwa bahati hawakupanga kukutana
Hapo tuache fitina kidogo ...
We ni msemaji wa IKULU?aliyekwambia hiyo picture imepigwa london nani?
Likes x 3. Sikioni kitufe cha likes kwenye cm yanguNi moja kati ya majukumu yake kama kiongozi wa wasanii wa bongo
Hivi inawezekana rais wa
Afrika mashariki tu akaja Tanzania then akapata muda wa kukaa na Boban
au Nsajigwa wakapiga story?
ni international stars hao? ungesema labda filbert bayi ingefanana fanana
Yaani unalinganisha kichaka na msitu wa Kongo !Hivi inawezekana rais wa Afrika mashariki tu akaja Tanzania then akapata muda wa kukaa na Boban au Nsajigwa wakapiga story?
Swali zuri sana hiliHivi inawezekana rais wa Afrika mashariki tu akaja Tanzania then akapata muda wa kukaa na Boban au Nsajigwa wakapiga story?
Mwenye picha ya Nyerere na Mwamed ally Bondia aiweke hapa!