Kumbe rais huwa anaenda marekani kujirusha na wasanii hivi

ukweli kama ni mchapa kazi bora angekutana na head wa majalala akampa mbinu za kujinasua na uchafu wa majiji

msimlaumu sana mzee huenda ushauri wa mama, by the way prezidaa wetu ni selebbrit waacha akutane na wenzake wabadilishane mawazo
 
Jipangeni msitumie muda mwingi kwa manufaa hafifu. Rais wetu anastahiki pongezi $900M kwa ajili ya kilimo hamlioni hilo vipofu, watanzania tujipange mapinduzi ya kilimo sasa ni kweli. Ndio maana wageni wakija mnaanza kulia kama watoto akili zimedumaa jinufaishe maendeleo hayaaaaaa
 
mi nimejiuliza sana kama walikutana ghafula hivi kati ya Jk Na Beckcham nani alianza kujitabulisha kwa mwenziea. sidhani kama Beckcham anamfahamu Jk hata kwa sura ninavyohisi JK alimfata huyu njemba na kumwambia unanifahamu mimi Hapana . mimi ni raisi wa Tanzania kunapopatikana ule mrima mrefu wa Kilimanjaro na kadhalika na kadhalika

Yu masti bi jiniasi.
 
Hivi inaweza tokea akakuta na Boban airpor atathubutu kusimama na kupiga nae stori?
 
Hawa wazungu wangeleta truvada huku kiongozi wetu mpendwa asingekuwa anasafiri sana.
 
*** Hapana; Sipendi safari zake lakini hapo wamekutana London, Kikwete on transit na david beckham karudi London kukimbiza Mwenge wa Olympics

Kwahiyo wamekutana kwa bahati hawakupanga kukutana

Hapo tuache fitina kidogo ...

rais anakutana tu na watu mitaani kwa bahati mbaya, camon we are expecting better contribution from a person of your understanding! this guy surely sio mwiZi ila starehe za kutanua duniani anapenda!
 
Really!!!

As much as i hate Kikwete there are plenty of better things to criticize him for than meeting celebrities.
 
Hapo vipi!!!
millet-president-jakaya-kikwete.jpg


DU!kumbe ****** si haba hd wanamitindo
 
*** Hapana; Sipendi safari zake lakini hapo wamekutana London, Kikwete on transit na david beckham karudi London kukimbiza Mwenge wa Olympics

Kwahiyo wamekutana kwa bahati hawakupanga kukutana

Hapo tuache fitina kidogo ...

Hivi kumbe Rais anasafiri na commercial flight! Ile ndege ya Mramba alomnunulia imefia wapi? au ndo ATCL style? kwa hiyo kwenye Flight anajichanganya na raia wengine kama mwakyembe alivyopanda daladala la tegeta?

Tulikula majani sisi ili mkuu wa nchi anunuliwe Ndege. Au hakuipenda kama vile alivyosumsia ma benzi ya Mkapa akachukua ma BMW? Aseme tu tutamtafutia Airforce One.
 
Back
Top Bottom