Kumbe rais huwa anaenda marekani kujirusha na wasanii hivi

321615_278555642168952_100000435547087_1014497_.jpg
Kama kawa kama dawa.
 
inashangaza inasikitiha haieleweki au ndio tumekosea tunahitaji kufikiria upya inakuwaje raisi wa nchi iliyoko hoi kiuchumi anaweza kukaa nje ya nchi yake kwa siku zaidi ya 9 ndio maana bunge na wananchi wanamuelekeza wateule wake wanavyo boronga nchi hata hivyo anaenda kuwauliza magamba kuwa afanyeje eti nao wamekubali awaondoe mafisadi amakweli tuaye raisi mtembezi
 
Kwa wapenzi wa soka (kabumbu) hapa tunaamini kwamba Rais ana nia ya dhati ya kukuza mchezo wa mpira wa miguu nchini kwa kutafuta mbinu kutoka vipaji vya dunia kama david Bekham

Rais anatakiwa kugusa sekta zote kama mwakilishi wa wananchi wote hadi wanamuziki wa bongo freva Rais wao ni huyo huyo Jk.
 
Sio wanasoka tu mkuu hata wakufoka foka pia anakutana nao!!!
2436630.jpg

Alishapata picha za 50cent, Bolt, Ronaldo, Drogba, Thabeet,Beckham, etc. Bado Messi, Terry, Lampard, Essien, Roney, Rio, etc.

Nadhani kabla ya kumaliza kipindi chake atakuwa kapiga nao picha wooote. Baadaye albam yake itawekwa makumbusho ya Taifa ili kuongeza vivutio vya utalii.
 
Karibu Tanzania............ bila shaka Rais ndio alikuwa anawaambia watu maarufu wote aliokutana nao katika sekta zote.
 
tumuache kikwete atumikie taifa lake hayo ndio mambo mhimu yatakayoletea tija taifa letu...katika safari zake

mungu bariki africa na mungu bariki tanzania.
 
Kwangu mimi sioni tatizo sana ikitokea umekutana na msanii mkubwa mkasalimiana. Maswali nnayojiuliza ni kuwa, nani ka set iyo appointment??? wanaset appointment ili wazungumze nn hasa??? kwani sikuna watu wa caliber ya beckham au 50 ambao wangeongea lugha moja zaidi yani the likes of Hashim, Mrisho Ngasa, AY na ukienda mbali sana waziri wa michezo??? Hakukua na mtu mwingine wa kuset nae appointment wa kuongea nae adi Beckham akafikiwa???
 
kila Mtu anandoto za utotoni wengi hutamani zitimie.anajitahidi..........
 
you should expect anything from jk, he never thinks before doing anything!
 
*** Hapana; Sipendi safari zake lakini hapo wamekutana London, Kikwete on transit na david beckham karudi London kukimbiza Mwenge wa Olympics

Kwahiyo wamekutana kwa bahati hawakupanga kukutana

Hapo tuache fitina kidogo ...


wamekutana kibahati mbaya? inamaana beckham naye huwa anatumia huduma ya VIP au JK amebana matumizi na kutumia Economic class wakati huu?
 
Mtoto wangu anapenda sana kumtaja JK, He is young na najua marketing ya jina la urais iko juu sana so sishangai. Tatizo langu nataka mtt wangu apate maadili mema na ninawachukia waimba matusi kama 50 cent. what msg does my presdent want to deliver to my kid? posing with mtukanaji kama huyu! Noma, a presdent must hv parental atributes coz anainfluence watu wengi sana especialy wtt ambao wanafata upepo tu.
 
Back
Top Bottom