stigajemwa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 449
- 430
Kibao chake cha "Ndiyo Mzee" kiliona mbali na kilitungwa baada ya utafiti wa kina kuhusu uhalisia wa watanzania.Yanayotokea sasa ni matokeo ya siasa za ndio mzee ambazo zinatokana na unafiki,ukosefu wa elimu na uvivu wa kujisomea na kufanya tafiti kama ifuatavyo:
1.Unafiki: Watz wengi ni ndio mzee kutokana na unafiki.Na hufanya unafiki ili kulinda maslahi binafsi au woga
2.Elimu duni:Watz wengi wana elimu duni au hawana elimu kabisa kiasi cha kutohoji chochote kwa kuwa hawajui kitu,hivyo kutumbukia kwenye kundi la ndio mzee
3.Kutokujisomea na kufanya tafiti:Wa tz wasomi wengi ni wavivu wa kufikiri kutokana na kutojisomea na kufanya tafiti hivyo kuangukia kwenye maamuzi ya ndio mzee.
Hivyo unabii wa profesa J unasadifu uhalisia wa watz hususani nyakati za chaguzi na pale maamuzi muhimu ya kitaifa yanapofanyika