Kumbe Prof.Safari (M/Mkiti) anazidiwa mamlaka na Lowassa (mjumbe)?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997

Ukiangalia Picha hapo juu, ni mkutano wa ndani Chadema..ukiongozwa na 'kamanda Lowassa ambaye ni mjumbe tu huku makabrasha yakibebwa na makamu mwenyekiti Prof.Safari. Kweli pesa ndio kila kitu siasa za bongo, mtu ana digrii tatu za sharia ana aliwahi kuwa mkuu wa chuo cha diplomasia anaruhusu protokali ya chama kukandamizwa?.

Haya ndugu Lowassa nakutakia kila laheri na kazi yako ya kuchunga ng'ombe kama ulivyotuahidi ukishindwa uchaguzi mwaka 2015.
Ni boda boda tu inapenya kwenye foleni...sasa huyu mjumbe kumpenya makamu mwenyekiti tafsiri yake nini?
 
Ha ha ha ha ha ndio shida ya kusoma sana digirii za "Sharia" mpaka anakua mtwana badala ya muungwana!
 
Ukiangalia Picha hapo juu, ni mkutano wa ndani Chadema..ukiongozwa na 'kamanda Lowassa ambaye ni mjumbe tu huku makabrasha yakibebwa na makamu mwenyekiti Prof.Safari. Kweli pesa ndio kila kitu siasa za bongo, mtu ana digrii tatu za sharia ana aliwahi kuwa mkuu wa chuo cha diplomasia anaruhusu protokali ya chama kukandamizwa?.

Haya ndugu Lowassa nakutakia kila laheri na kazi yako ya kuchunga ng'ombe kama ulivyotuahidi ukishindwa uchaguzi mwaka 2015.
Ni boda boda tu inapenya kwenye foleni...sasa huyu mjumbe kumpenya makamu mwenyekiti tafsiri yake nini?
Chadema ni chama cha wasanii tu
 
Hayo yote ni umbea na hayamsaidii mtanzania kitu chochote.

Ungefanya jambo la mbolea sana kama ungeuliza rambirambi za wanakagera zipitia wapi kuliko kudiscuss mafaili ya watu waliyoyabeba.
 
Kumbe Prof.Lipumba (M/Mkiti) anaizidi mamlaka serikali ya CCM (chama tawala)? CCM kama bodaboda Sasa.
 
Wakudadavuwa acha upuuzi wako
Mwanangu kakosa mkopo lkn ww unatuletea mambo ya upuuzi kabisa
Lowassa kumzidi rank Prof Safari ndiyo imesababisha Mama yangu kukosa madawa Kyela hospital?
Lowassa ndiyo kasababisha serikali itafune pesa za rambirambi?
Taifa linapitia hatua za hovyo hovyo lkn mijitu ingine inaandika upuuzi tu bado
 
Wakudadavuwa acha upuuzi wako
Mwanangu kakosa mkopo lkn ww unatuletea mambo ya upuuzi kabisa
Lowassa kumzidi rank Prof Safari ndiyo imesababisha Mama yangu kukosa maawa Kyela hospital?
Lowassa ndiyo kasababisha serikali itafune pesa za rambirambi?
Taifa linapitia hatua za hovyo hovyo lkn mijitu ingine inaandika upuuzi tu bado
Acha kukwepesha mada,jikite kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom