Kumbe PB ilisha uzwa kitambo

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Nimepata tetesi kuwa kampuni ya mafuta BP-Tanzania ilisha uzwa kwa mtu mwingine. Huku serikali/EWURA wanasema itafungiwa hapo ni danadana au?

Release date: 15 November 2010
BP today announced that it has agreed to sell its fuels marketing businesses in Namibia, Botswana and Zambia to Puma Energy. BP also announced that it has agreed to sell its 50% interest in each of BP Malawi and BP Tanzania to Puma Energy, subject to the pre-emption rights of its co-shareholders (Press Corporation Limited in Malawi and the Government of Tanzania in Tanzania)
 
Wana JF,

Nimepata tetesi kuwa kampuni ya mafuta BP-Tanzania ilisha uzwa kwa mtu mwingine. Huku serikali/EWURA wanasema itafungiwa hapo ni danadana au?

asante kwa taarifa lakini kichwa cha habari kimenichanganya kidogo.....nilidhani ni Power Breakfast imeuzwa....dah
 
asante kwa taarifa lakini kichwa cha habari kimenichanganya kidogo.....nilidhani ni Power Breakfast imeuzwa....dah

Wao thanks kwa kunirekebisha sijui ni uchungu wa kukosa wese maana huku mikoani ni hali tete pia
 
Izi tetesi zinaweza kuwa za kweli kuna wakati niliona baadhi ya wanasheria wakipitia mikataba na assets za BP ili kufanya mchakato wa kuiuza. Now i think ishapigwa bei na undani wake tutakuja kuona madudu tu subiri.
 
Sahihisha basi taito yako ili wapita njia waelewe kabla ya kufungua mlango.
 
Back
Top Bottom