kumbe ofisi nyingi za ccm moshi ni nyumba za manispaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe ofisi nyingi za ccm moshi ni nyumba za manispaa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Jan 31, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Madiwani moshi wawakilisha pingamizi mahakama ya ardhi ccm walipe kodi ya pango
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Kule Biharamulo ccm walichukuwa uwanja wa michezo na kuufanya kuwa wao! Ipo siku patachimbika tu!
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Wamejimilikisha mali nyingi sana kiholela hawa CCM
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  uchumi unatumikia siasa!ccm walipaswa kuilipa halmashauri kila mwaka sh100m kama pango la ofisi zake!
   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 1,324
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  ufisadi ndani ya CCM hauja anza leo na hakika tusipokua makini watatumaliza
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,283
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  si huko moshi tu,nchini tz mikoa yote maeneo mengi ya wazi wamehodhi wao na kupangisha wafanyabiashara wa maduka.
  Viwanja vyote vya mikoa wamevipora nakudai wanavimiliki wao ilhal vilijengwa kwa michango ya wananchi wote bila kujali itikadi zao....huu ni uporaji wa wazi,we must review this occupancy!
   
Loading...