FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,823
- 109,109
Ganja ni mboga Iringa. Si mboga katika mkoa wa Mara.
Siongelei mkoa, waulize wazanaki wakueleze.
Ganja ni mboga Iringa. Si mboga katika mkoa wa Mara.
Nyerere hakushindwa kuongoza nchi. Kwa nchi ambayo ilikuwa na less than a 100 graduates at the time of independence kuwa na literacy rate of 85% wakati anaondoka mamlakani huwezi kusema huko ni kushindwa. His record on the liberation of Africa is unparalled.
Mimi ni mmojawao. Sihitaji kuuliza. Unless ulimaanisha mlenda/mrenda.Siongelei mkoa, waulize wazanaki wakueleze.
Nimekupa facts. Zisute. Ndio nchi ilikuwa hohe hahe baada ya vita vya Idi Amin. Kipi kisichoeleweka hapo?Ama kweli, ukipenda chongo utaona kengeza, nyerere kang'atuka, nchi iko hohe hahe. Huo ndio ushindi wake.
Mimi ni mmojawao. Sihitaji kuuliza. Unless ulimaanisha mlenda/mrenda.
Nimekupa facts. Zisute. Ndio nchi ilikuwa hohe hahe baada ya vita vya Idi Amin. Kipi kisichoeleweka hapo?
what you guys mean? by agent you mean alikua shushushu au?
Naona hujafika Mara. Ganja wanailima Tarime. Si mboga. Inauzwa Kenya. Mila ya wanawake wasio na watoto (Intobu) kuona wanawake wengine ili wawazalie watoto iko Tarime. Mkoa wa Mara una makabila zaidi ya 23. Usiwachanganye wote chungu kimoja. Nimekupa facts. Msute Nyerere kwa facts, si kwa dhana, kama mlivyokuwa mnafanya na Mohammed Said kwenye ile thread nyingine.Ganja vipi? huko sio mboga? na wanawake kuoa wanawake wenzao, ruksa, au sio?
ndio maana unamtetea nyerere hata ambapo hapateteeki.
Waganda walianza kulipa war reparations wakati wa utawala wa Museveni. Museveni aliingia mamlakani 1986 na Nyerere alistaafu 1985. Facts, my friend, facts.Wacha pumba, fact ipi? mbona husemi alipoondoka BOT ilikuwaje? hazina kulikuaje, mitaani kulikuaje, watu hata kandambili walikuwa hawana, na hiyo ni miaka mingapi baada ya vita? na hapo waganda walishaanza kurudisha gharama za vita. Na vita gani ile ya kututia umasikini? vita iliyolipiwa na mataifa kibao au hilo umesahau?
Mwalimu was a prolific leader and the rest are bunch of thugs and morons
Naona hujafika Mara. Ganja wanailima Tarime. Si mboga. Inauzwa Kenya. Mila ya wanawake wasio na watoto (Intobu) kuona wanawake wengine ili wawazalie watoto iko Tarime. Mkoa wa Mara una makabila zaidi ya 23. Usiwachanganye wote chungu kimoja. Nimekupa facts. Msute Nyerere kwa facts, si kwa dhana, kama mlivyokuwa mnafanya na Mohammed Said kwenye ile thread nyingine.
Waganda walianza kulipa war reparations wakati wa utawala wa Museveni. Museveni aliingia mamlakani 1986 na Nyerere alistaafu 1985. Facts, my friend, facts.
I guess ndivyo ilivyo because you said so, eh? Yale yale ya Mohammed Said eti kaambiwa na wazazi wake.Si kweli, waganda wameanza kulipa immediately baada ya vita, na hivyo ndiyo ilivyo.
Kumbuka, nyerere was a "public figure", kumzungumzia yoooote yake ni katika kumkumbuka. Haswa zaidi haya yaliyojificha, labda ndio sababu za kushindwa kwake kuiongoza nchi.
wenzio wana msujudia huyo.Mwalimu was a prolific leader and the rest are bunch of thugs and morons