Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 892
- 1,226
TATASIKIA MENGI. KWA HIYO WATU WAMEKULA SANA NYAMA ZA FARU?
Na bunduki au syringe siku izi hawatumiiUnajuaje kama ndo wanatibiwa hapo?
Unaweza ukawa sahihi!Unajuaje kama ndo wanatibiwa hapo?
Utamdondosha faru na syringe?Na bunduki au syringe siku izi hawatumii
TUAMBIE MZOEFU, MLIKUWA MNADONDOSHAJE? UTANI BWANAUtamdondosha faru na syringe?
Picha zenyewe umeungaunga! Umejuaje hizi picha ni za Tanzania? Acha upumbavu. Nchi nyingi duniani zina wanyamapori, usifikiri ni Tanzania tu.Na bunduki au syringe siku izi hawatumii
Mbona sasa hawana chochote kinachohusiana na medical kama kits na vifaa vyake n bunduki tuUtamdondosha faru na syringe?
Umenikumbusha miaka ile waliposema Prof Kighoma Malima alitoa misamaha ya kodi kiholela, walipochunguza wakagundua Prof alitoa misamaha kwa taasisi za dini tu tena kwa mujibu wa sheria!!
Mwenzetu waweza kwenda na kumkamata simba/mnyama pori na kutumia hiyo syringe?Na bunduki au syringe siku izi hawatumii
wanatibiwa na bunduki?Hapo wanatibiwa
We jamaa nyangau kweli
We jamaa akili zako umekaliawanatibiwa na bunduki?
wanatibiwa na bunduki?Hapo wanatibiwa
We jamaa nyangau kweli
Ukiwa CCM ni Fisadi ila ukihamia Chadema ufisadi wako unafutikaUkiwa ccm we ni msafi zaidi ya malaika,ila ukitoka tu unakuwa mchafu zaidi ya Ibilisi.
wanatibiwa na bunduki?
Ukiwa CCM ni Fisadi ila ukihamia Chadema ufisadi wako unafutika