Kumbe Nyalandu alitoa hadi vibali vya kuwinda Simba na Faru? Hii picha inamaanisha nini?

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Screenshot_20171109-084737.png
 
Kuna watu wanastahili kunyongwa hadi kufa kabisa na miili yao kudumbukizwa ziwa Tanganyika
 
Ukiwa ccm we ni msafi zaidi ya malaika,ila ukitoka tu unakuwa mchafu zaidi ya Ibilisi.
 
Back
Top Bottom