Kumbe njama Za kumnyamazisha Lissu hazikuanza Awamu hii tuu bali tangu enzi ya JK

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,206
2,000
Hakika Tundu Lissu ni mwana wa baraka kwa nchi hii!! Lissu ni masihi aliyesubiriwa kwa kitambo!!

Hapa chini ni habari inayoeleza namna Kinana na JK walivyokula njama Za kumvua ubunge Tundu Lissu!!

Nimeona Dr Slaa akielezea kwa kina dhulma Za CCM dhidi ya Lissu na namna Kijana Lissu alivyokosesha usingizi watawala wa awamu hiyo!!

Hakika Magufuli anapambana na upepo!!!


 

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
7,270
2,000
Bora figisu za kisiasa lakini siyo kupigana risasi

Kwani hata huyo JK si alifanyiwa figisu za kisiasa na Nyerere ili asiwe raisi mwaka 1995?
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
13,869
2,000
Toka huyo mtu apambane kuwa mtu fulani kuwa ni fisadi lkn alipohamia chama Chao akaanza kumsafisha hapo ndo nikajua siasa ni mchezo mchafu usio hitaji hasira maana mtu mpaka misuli inakutoka kwa kusema fulani ni fisadi kesho tena hiyohiyo misuli inamtetea huyohuyo ha ha bado sana sisi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom