Kumbe nimezaliwa leo

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,592
29,711
Kama siyo ujumbe wa email kutoka JF walah leo ingepita bila kutambua kwamba nilizaliwa tarehe kama ya leo

Niashukuru wana JF wote kwa namna tunavyodumisha udugu, urafiki na ujamaa baina yetu. Najua kuna changamoto nyingi maishani, lakini changamoto kubwa ni ile inayotukabili wengi wetu hapa, nayo ni Kuzaliwa Tanzania anchi ambayo haithamini vipaji vya watu wake, nchi inayoamini ktk fursa za kisiasa kama fursa rasmi kwa rika linalocchipukia na kinga ka walio mawio.

Naamini katika ushirikiano, udugu na kujali wngine. Tamaa ni nguzo ya uoga ila ujasiri ndiyo mlango wa mafanikio. Unapothubutu kuvuka kizingiti ujue safari umeianza. Usirudi nyuma ila tunza kumbukumbu za awali kwa ajili ya uzoefu njiani.

Naweza kujilaumu kuzaliwa wakati huu, lakini nakubali kulaumiwa kwa sababu sijafanya lolote la maana.

Leo nazaliwa
Kesho napagawa

Leo Naangaza
Kesho Nashangaza

Leo nakunjuka
Kesho nainuka

Leo ni leo
Kesho si leo

#JustSaying
 
This is special for you.
Happy birthday to you.
Happy birthday to you.
Happy birthday dear Msanii
Happy birthdy to you.
 
Last edited by a moderator:
Happy hapy hapy Bday toto!!una miaka ngapi vile ili nizime mishumaa for u!
 
Najua hii ningepost kwa ile ID yangu nyingine feki tungekuwa tushffika page ya 50...

MMU kwa ubaguzi siwawezi
 
Nimecheka mno! Hahahahahaaaa.... You made my day. Lol

Msanii... I wish you a wonderful and Lovely day. Happy Birthday :grouphug:

Tatizo hujatuma card za mwaliko bana. Hebu mention a few washtuke kidogo, maana hapa naona wadogo zangu kwa baba watoto Kaizer wana bidii na hawajatia mguu, si wachoyo wa salamu hawajaona tu. CC gfsonwin, DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday msanii afu hiyo ujumbe wa jf unapokeaje?nielekeze nami niupokee
 
Back
Top Bottom