Kumbe " Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana" ni toba ya kawaida pale Lumumba unapokikosea chama, hata Nape alitubu hivyo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,828
141,742
Mzee Mgaya anasema Toba ya Ndugai kwa Rais na Wananchi iko kichama zaidi na ni utaratibu wa kawaida kwa kila anayekikosea chama.

Kwa mfano wanaccm wote waliohamia Chadema walipotaka kurejea walifanya toba hii " Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana" ndio hao akina Waitara, Mgeja, Sumaye, Dr Mollel, Cecil Mwambe nk.

Ni wachache waliwahi kugoma kufanya toba hiyo akina Kinana, Membe nk....nk. amesema Mgaya.
 
Kama ni hivyo,wananajisi maneno yatumikayo makanisani.Kwa sababu,ukiwatazama hata nyuso zao tu zinaashiria ni wanafiki na waongo.
 
Mzee Mgaya anasema Toba ya Ndugai kwa Rais na Wananchi iko kichama zaidi na ni utaratibu wa kawaida kwa kila anayekikosea chama.

Kwa mfano wanaccm wote waliohamia Chadema walipotaka kurejea walifanya toba hii " Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana" ndio hao akina Waitara, Mgeja, Sumaye, Dr Mollel, Cecil Mwambe nk.

Ni wachache waliwahi kugoma kufanya toba hiyo akina Kinana, Membe nk....nk. amesema Mgaya.
Bwashe chama kile cha kijani kinadhalilisha sana Ukristu. Kwamba ukitaka kuomba msamaha lazima uombe kwa masharti ya kuomba toba madhabahu ya Kiroma? Kwamba viongozi wa chama kile sasa wanaombwa toba kwa kiwango cha Yehova? Mungu ni mwema wakati wote.
 
Tofauti ni kwamba wao hawasamei. Au kwa vile aliyeombwa msamaha si Mkristu?
 
Back
Top Bottom