Kumbe ni muhimu kuwaamini wananchi walio kwenye grassroot

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wana JF

Baada ya Jimbo la Mbeya Vijijini kuchukuliwa na CCM wananchi walitoa malaamiko kuwa Shitambala aliuza jimbo kwa Mafisadi wa CCM. Chadema makao makuu wakaingilia kati wakatoa tamko kuwa hakuna mahali penye ushaidi kuhusu hilo. Lakini dalili hizi za yeye kurudi CCM pamoja na makeke yake mnasemaje? hakuna harufu ya ukweli yale aliyotuhumiwa?
 
Back
Top Bottom