Kumbe ni Malaika

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Mtoto mdogo wa kiume kamsimulia mamaye: Mama, unafahamu kuwa dada(house girl) kumbe ni malaika? MAMA: kwa nini unasema hivyo? MTOTO: nilimwona akiwa u.c.h.i mikono ameshika ukutani akisema "mungu wangu nakuja, nakuja, nakuja" kama baba asingekuwa amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni!
 
huyo mtoto ni wa wakati wa kikwete au nyerere maana watoto wengine nuksi ile mbaya.......mambo gan sasa hayo hata hachuni
 
Mtoto mdogo wa kiume kamsimulia mamaye: Mama, unafahamu kuwa dada(house girl) kumbe ni malaika? MAMA: kwa nini unasema hivyo? MTOTO: nilimwona akiwa u.c.h.i mikono ameshika ukutani akisema "mungu wangu nakuja, nakuja, nakuja" kama baba asingekuwa amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni!

"kama baba asingekuwa amemshikilia kwa nguvu kwa nyuma angeweza kupaa juu mbinguni" hahahaaaaaaaa... Lol! What an angel.. Mama lazima alizimia bila shaka..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom