Kumbe Ngassa Marekani alienda kufanya Tangazo sio majaribio

Mavotah

JF-Expert Member
May 24, 2013
280
250
Hii swala limenishangaza, watu walishabikia wakijua jamaa atasajiliwa kumbe alienda kufanya tangazo la Utalii, Ni kwenye ile mechi ya Man Utd v Seatle,,source Bin Zubeir
 
Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
1,500
Hii swala limenishangaza, watu walishabikia wakijua jamaa atasajiliwa kumbe alienda kufanya tangazo la Utalii, Ni kwenye ile mechi ya Man Utd v Seatle,,source Bin Zubeir

Wewe wa wapi hata huendi na wakati? Blog ya Bin Zubeiry ni pipa la takataka, viongozi wa Yanga walishatuzuia sisi mashabiki wa Yanga kuifungua hiyo blog, tangu wakati huo tumeachana naye, na wewe tunakuomba unapokuja na hoja zako zingatia kuwa sisi wana Yanga hatutaki kuona source ya Bin Zubeiry, umeelewa Mkuu?
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,656
2,000

makoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,677
2,000
Hii swala limenishangaza, watu walishabikia wakijua jamaa atasajiliwa kumbe alienda kufanya tangazo la Utalii, Ni kwenye ile mechi ya Man Utd v Seatle,,source Bin Zubeir

Chakuambiwa changanya na tafakuri yako ndio useme. Uki copy na ku paste hata kasuku anaweza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom