Kumbe New york City kuna mashamba na Misitu pia?

1623582617762.png

1623582673979.png
 
Mimi nashauri pale manzese kwa mtogore nyumba zivunjwe ipandwe miti ya mbao na sisi tuwe na kamsitu ketu kama wenzetu New York City au mnasemaje ndugu zangu
Halafu ule msitu wa watu upelekwe wapi?
 
BK the home of biggie and jay Where niggas got will smith chips Get jiggy all day!!

Lemme tell you where I grew up at
Sip mo' threw up at
Flip coke blew up at
Where them fake thugs got they vests chewed up at
Brooklyn, beef who want that
I grew up in the thoroughest borough B.K.
Where big had everybody rocking DK
Gav was the first dude with the CLK
And bricks was getting shipped outta east LA
It's brooklyn where niggas lives is tooken
Rich cats got knocked and they wives was tooken
Fort greene and hemlock
The 5th been cocked
We cried when they killed lenox pop the glock
A yo did y'all hear what the https://jamii.app/JFUserGuide I just said??

ukiachana na mashamba. serikali iangaliwe uwezekano wa dar kupata urban park baadhi ya maeneo sio tu kwa ajili ya watu kupumzika baada ya kazi bali kuongeza fresh air sababu dar nzima ni vumbi tu hakuna sehemu isiyo na vumbi.
 
New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.

Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.

Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.

New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.

Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.

Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.

Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?

London tu ukisoma ina mashamba 500,

Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Unamaanisha New York State, sio New York City.
 
Kwa hiyo ?
 
Back
Top Bottom