funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Misitu yao iko fencedMajambazi na vibaka itakuwa chimbo lao,labda kuweka kambi ya jeshi

Hahahah Frankfurt am mainMwaka 2013 natua Frankfurt Germany nakutana na bonge ya msitu wa mbao kama ile ya Mafinga.
Mzungu ana akili sana
😅Majambazi na vibaka itakuwa chimbo lao,labda kuweka kambi ya jeshi
Halafu ule msitu wa watu upelekwe wapi?Mimi nashauri pale manzese kwa mtogore nyumba zivunjwe ipandwe miti ya mbao na sisi tuwe na kamsitu ketu kama wenzetu New York City au mnasemaje ndugu zangu
Ni maeneo yepi hayo kwa Dar.. au ni Mipakani huko!Kuna maeneo ambayo unafyeka tu kichaka na kumuita balozi, kisha una kuwa mmiliki halali...
New york state au New york city?
Unamaanisha New York State, sio New York City.New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Kwa hiyo ?New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.