Kumbe ndoa zinawafanya wanawake wawe wachawi kiasi hiki????

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,720
155,326
Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao
hamjaoa >>>
Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii
miwili wanaume wengi nisiowatarajia
wameoa na wengine wanaoa,ghafla
ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji
hiyooo.Familia ya Bwana Mbulula
wanayo furaha kukutaariu kuwa kijana
wao....
WANAUME KUWENI MAKINI
Kuna tabia fulani hivi mnawaalika
Mademu Gheto wanakuja wanalala
halafu ikifika asubuhi wanajua kabisa
utaenda kazini,wao wanajifanya
wamelala.Utawasikia 'Bebi we nenda tu
mi niache bado nna usingizi niachie
funguo utaikuta chini ya mlango'
Kwa kumuamini unaacha..DUNIA
IMEBADILIKA...Mchawi sio lazima
avae gagulo,mademu wa siku hizi
wanakupekecha hadi unakaa
sawa,wanachukua nguo yako
wanaipeleka kwa mtaalamu,wanaic
hezea Alingo na Azonto kwa
Mpigo,ukirudi unakuta umepigiwa Pasi
nguo za kwenda kazini kesho na gheto
limepangwa,unajua yeesss..Ukivaa tu
ile nguo,na vile Mungu kwako ni part
time job kama Customer Care operator
UNAKAMATWA...
Usidhani Limbwata ni kwenye chakula
au kuwekewa kipande cha Nyama
kwenye kipapuchi,Watch out...Ni
Sistaduu na ana sura ya upole lakini
Trust No One...wanaloga usitake
Kujua,Ndoa zinasakwa kuliko Form 6
anavyopiga ruti ofisi za TCU..
Ukinitumia meseji ya mchango wakati
wiki6 zilizopita uliniambia utaoa
maybe 2017 najua tayari
umenaswa...Ufunguo wa Gheto
sikupi,amka tutoke wote,usingizi
kwenu!
 
hahahahahaahahahaaaaaaaaaaa!!!! Bujibuji umepatikana nn?, pole mwaya, ila si wote , unaweza ukakuta rafiki yako kakolea yy mwenye na wala si uchawi.
 
Tunasema hivi wanawake tukiwezeshwa tunaweza...
Kwa hiyo tunachohitaji kwa wanaume ni kutongozwa, na kupelekwa gheto tu baasi mengine yote tunamaliza wenyewe.
Tatizo siku hizi hamtaki kuoa kwa hiyari.
Nimeipenda hii,wapi kitufe cha like
 
Hiyoooo unashangaa leo,wanaume tena wale mnaojifanya wagumu ndio mnapigwa la fasta huyo unaanza kuhangaika na ndoa
 
siku hizi wakina dada wanatafuta ndoa kwa nguvu kubwa.ndio wao wanaona ajira kuliko kufanya kazi na kujitegemea
 
haha haaaaaaa
leo kazi tunayo lolz

mara tuitwe wadudu mara wachawi ..hii balaa
 
Hadi hit and run iishe,wafanyeje sasa,..hvohvo ladies tupunguze heartbreaks zisizo za lazma..
 
Mnawindwa nyie wanaume km hamjui unakuta kabinti kana miaka 19 kachawi balaaa hakaogopi hata mambo hayo,,hasa wale wenye kujifanya hamna msimamo kwa wapenzi wenu hawaoni tabu kukupuliza la miaka hata mitatu au mitano then hata uchawi wake ukiishiwa nguvu haoni tabu tena kwenda kulipuliza likae vzuri au hata mkiachana basi tena ili mradi yy kashapata ndoa hata ya miaka 2.........CHEZEAAAAA WEWE shaulilo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom