Kumbe ndo maana wanapaka nyekundu mara nyingi!

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
Lipstick ni nini?

Lipstick ni aina ya vipodozi vyenye rangi mbalimbali vinavyotumika kupaka katika midomo hasa ya wanawake ili kuongeza urembo na mvuto wao.

HISTORIA YA "LIPSTICK"

Historia ya kupaka rangi kwenye midomo kwa kusudi la urembo inaonyesha kuwa jambo hili lilianza zamani sana na inasemekana kuwa lilianzia huko Misri.

Wanawake wa Kimisri wakati huo walikuwa wanapaka rangi nyekundu kwenye midomo yao ili kuonyesha kuwa WAKO TAYARI KWA AJILI YA NGONO.

Maana halisi ya desturi hii ilikuwa ni kupeleka ujumbe kwa wanaume kuwa uchi wa mwanamke anayepaka rangi nyekundu mdomoni anapopata hamu ya ngono, midomo ya uchi wake inageuka kuwa na rangi nyekundu kama ile iliyopakwa kwenye midomo ya usoni.

Mwanasayansi na mtafiti wa mabadiliko ya tabia za wanadamu na maisha ya wanyama ambaye ni mwenyeji wa huko Uingereza, Desmond Morris katika kitabu chake cha “The Naked Ape (1967)” naye anaunga mkono dhana na madai hayo na anasema kuwa desturi ya wanawake kupaka rangi nyekundu kwenye midomo imetokana na wanawake kuifananisha midomo ya usoni na midomo ya uke inapovimba na kuwa na rangi nyekundu pale mwanamke anapokuwa na hamu kali ya kufanya ngono.

Kabla ya karne ya 19, kanisa Katoliki lilipinga na kuzuia matumizi ya lipstick miongoni mwa waumini wake kutokana na kuamini kuwa desturi ya upakaji wa rangi nyekundu katika midomo ya mwanamke ilikuwa na CHIMBUKO LAKE KUTOKA KATIKA IBADA ZA KISHETANI NA UFUSKA AU UMALAYA .

_____________________________________________

Huo ndio ukweli kuhusu "Lipstick"

Wala Sisemi usitumie... Lakini pia sijasema utumie
 
Inaweza ikawa kweli ina maana hiyo....lakini inaweza ikawa maana hiyo ni kwa jamii hiyo.....

Kwenye jamii ya kimasai mwanamke au mwanamume kuvaa shanga mguuni na kiunoni ni sehemu ya utamaduni na una una historia yake......

Lakini vile vile....uvaaji huo wa shanga kwa wanaume kwenye jamii zingine...unaleta taswira sana mbele ya jamii hiyo.....na hata wao pia wana historia mbaya juu ya jambo hilo.....

Maana yake ni kwamba kila jamii ina mambo yake...ambayo yanaweza kuleta tafsiri mbaya kwenye jamii nyingine.....

Jambo la msingi kufuata mambo ya jamii yako....huku ukiheshimu mambo ya jamii zingine.....
 
Ngono na hela imetawala dunia. Ukiwa na hela yani utagegeda sampuli zote. Wanajamvi mniombee nisiwe bilionea yani nitazini balaaa. Kuna vitoto vya sauz wazulu navichek kwenye mtandao yani navilia taiming ngoja hela zangu za boks nilizochanga
hahahahahahahahahahahaa:D:D:D:D:D
 
Lipstick ni nini?

Lipstick ni aina ya vipodozi vyenye rangi mbalimbali vinavyotumika kupaka katika midomo hasa ya wanawake ili kuongeza urembo na mvuto wao.

HISTORIA YA "LIPSTICK"

Historia ya kupaka rangi kwenye midomo kwa kusudi la urembo inaonyesha kuwa jambo hili lilianza zamani sana na inasemekana kuwa lilianzia huko Misri.

Wanawake wa Kimisri wakati huo walikuwa wanapaka rangi nyekundu kwenye midomo yao ili kuonyesha kuwa WAKO TAYARI KWA AJILI YA NGONO.

Maana halisi ya desturi hii ilikuwa ni kupeleka ujumbe kwa wanaume kuwa uchi wa mwanamke anayepaka rangi nyekundu mdomoni anapopata hamu ya ngono, midomo ya uchi wake inageuka kuwa na rangi nyekundu kama ile iliyopakwa kwenye midomo ya usoni.

Mwanasayansi na mtafiti wa mabadiliko ya tabia za wanadamu na maisha ya wanyama ambaye ni mwenyeji wa huko Uingereza, Desmond Morris katika kitabu chake cha “The Naked Ape (1967)” naye anaunga mkono dhana na madai hayo na anasema kuwa desturi ya wanawake kupaka rangi nyekundu kwenye midomo imetokana na wanawake kuifananisha midomo ya usoni na midomo ya uke inapovimba na kuwa na rangi nyekundu pale mwanamke anapokuwa na hamu kali ya kufanya ngono.

Kabla ya karne ya 19, kanisa Katoliki lilipinga na kuzuia matumizi ya lipstick miongoni mwa waumini wake kutokana na kuamini kuwa desturi ya upakaji wa rangi nyekundu katika midomo ya mwanamke ilikuwa na CHIMBUKO LAKE KUTOKA KATIKA IBADA ZA KISHETANI NA UFUSKA AU UMALAYA .

_____________________________________________

Huo ndio ukweli kuhusu "Lipstick"

Wala Sisemi usitumie... Lakini pia sijasema utumie
Noma sana
 
Inaweza ikawa kweli ina maana hiyo....lakini inaweza ikawa maana hiyo ni kwa jamii hiyo.....

Kwenye jamii ya kimasai mwanamke au mwanamume kuvaa shanga mguuni na kiunoni ni sehemu ya utamaduni na una una historia yake......

Lakini vile vile....uvaaji huo wa shanga kwa wanaume kwenye jamii zingine...unaleta taswira sana mbele ya jamii hiyo.....na hata wao pia wana historia mbaya juu ya jambo hilo.....

Maana yake ni kwamba kila jamii ina mambo yake...ambayo yanaweza kuleta tafsiri mbaya kwenye jamii nyingine.....

Jambo la msingi kufuata mambo ya jamii yako....huku ukiheshimu mambo ya jamii zingine.....

Tamaduni (culture).
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom