Kumbe ndiyo maana serikali hupeleka Miswada Bungeni kwa lugha ya Kiingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ndiyo maana serikali hupeleka Miswada Bungeni kwa lugha ya Kiingereza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhosni, Apr 13, 2011.

 1. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zoezi la wabunge kuomba kura kuchaguliwa kuingia bunge la Africa limetia faraja kwa wachache na aibu kwa wagombea wengi.

  Wanaongea kiingereza kibovu kupita kiasi na sijui ni wabunge wangapi wana uwezo wa kuongea na kutumia kiingereza bila wasiwasi.

  Serikali kwa kulijua hilo na kwa sababu miswada yao inakuwa na mapungufu mengi, basi hupeleka miswada bungeni kwa lugha ya Kiingereza
   
 2. W

  WildCard JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Jaribu hata humu JF tu-post kwa kiingereza uone.
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hilo mkuu halina shaka na ndo maana hata muswada wa kuunda kamati ya kuratibu mapitio ya katiba uliandikwa kiingereza na wakagoma kuutafsiri!!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Me nilipoona wameupeleka kwa kiingereza nkajua basi hakuna mchango wa maana kutoka kwa baadhi ya wabunge!
   
 5. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nadhani ukweli ni kwamba wengi hawana uwezo wa kusoma mswada wa kisheria ulioandaliwa kwa kiingereza na kuuelewa. Nimejaribu pia kuchungulia profile zao kwenye website ya bunge, viwango vya elemu vya wabunge wengi ni very interesting
   
 6. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tanzania lugha ya taifa ni kiswahili kwa nini muswada uandikwe kiingereza? serikali inajua kuwa wabunge wengi wa ccm ni vilaza hawjaui kitu. nasikia mbunge prof maji marefu wa korogwe anatembea na kamusi ya english -swahili mkobani mwake kila aingiapo bungeni.
   
 7. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ohoooo, nimekumbuka kumbe hata vitabu vya bajeti huandikwa kwa lugha ya kiingereza!
   
 8. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hundoujanja wa ccm imetumiyakutawarakwamdamlefu kutowaelimumbovu iliwengituzidikuwa mambumbumbu iliwaendelelekujichukuliyamali zawatanzaniakiuraini kamawenyemalihawapo ndomanawanajitaidikutakakuendelezakausani kususwaralinalohusuutaifa iandikwekwakiswahili kwanindorughaya taifa tuliowengihatujaenda shule dr7 naowengi mikataba&miswada iandikwekwakiswahili
   
 9. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Hat ukiwakuta Mabingwa wa Sayansi wa nchi za Japan, Ujerumani nk na hufanya hivyo hivyo. Ni mtumwa tu ndo hujisfia kujua na kutumia lugha ya mwenzie na kudharaua ya kwake.
   
 10. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wataelewa tu, kidogo kidogo
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  nilikuwa natamani kula lakini sasa nimeshiba. lol!
   
 12. F

  FUSO JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  kaka umeponyeza penyewe, hili ni TATIZO LA KITAIFA.
   
 13. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu tuanzishe mradi wa kuwafundisha wabunge ingilishi kozi. Mimi maimuna...
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hata Kiswahili pia ni kigumu.
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mnakumbuka walimu wetu wa kiingereza?
  Primary kuanzia drs 3-7 ni Mr.Daudi, Musa, Neema na Baraka.
  Ukifika sekondary: kalulu the hare!
  Chuoni hata maProf aibu.
  Tatizo ni mfumo wetu wa elimu.
  Tusijivunie Kiswahili ni lugha ya taifa kwa sababu hatujui Kiingereza. Kama ni lugha ya Taifa basi Mikataba ya kimataifa yahusuyo TZ iwe Kiswahili.
  Mikataba ya Madini, Mauzo ya mashirika ya Umma(RELI,SIMU, etc), Nishati, yote Kiswahili.
  Hata TZ ikishitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa iwe Kiswahili.
  Unafiki huu! Kiswahili zungumza lakini uwasiliane pia kimataifa.
   
 16. B

  BENTA Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Msuada huo ni danganya toto lugha uliyotumika, maudhui yake,kichwa chake. na mengineyo yaliyomo kwenye msuada wataalamu waliotayarisha kazi hiyo wamefanya kwa makusudi ili mwisho wa siku tutaambiwa jambo jingine tusubiri mtaona wenyewe.
   
 17. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukija kwenye mikataba sasa ndio napata picha. Kumbe wanaandikiwa kila kitu wanasaini ilivyo kwa sababu wanaona wakihoji wataonekana hawajui kiingereza
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Lugha ya kuhoji ni ipi? Ukumbuke ni mzungu ndo mwenye kisu
   
 19. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unajua mkuu, sisi tunaona aibu kuongea lugha yetu na wageni. Kwamba tumetukuza kiingereza kiasi kwamba tunadhani kwamba kiswahili ni inferior.

  Nchi zingine utakuta mtu anaongea lugha yao kisha inatafsiriwa, hapa kwetu tunajitutumua kuonesha kwamba sisi ni wajuzi sana wa lugha ya kiingereza, halafu ndo tunapoteza kabisaaaa
   
 20. b

  blessings JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2015
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,036
  Likes Received: 2,830
  Trophy Points: 280
  Ni ukweli wabunge wengi hawajui kuongea/kusoma kiingereza kwa ufasaha, nina wasi wasi na Mbowe, Martha Mlata, Mr. Sugu, Lema, Prof. Maji Marefu, Kibajaji, MARIAM KISANGI
   
Loading...