Kumbe ndivyo inavyokuwaga..............!!!!!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Kuishi kwingi ni kuona mengi........................
 

Attachments

  • paka na panya.jpg
    paka na panya.jpg
    19.6 KB · Views: 167
Hhahaaaaaaaaa, kweli ni kuona mengi na ndivyo "inavyokuwaga".........chembe zote za ukweli zimo hapo mjomba
 
Akiwa hana kitambi anamkimbia Mwanume, akipata neema akapata kitambi kama Wasirra, anamkimbilia mwanaume! Inaonekana wanaume hatupendi wanawake wenye vitambi!
 
woga na hofu ambayo wanaume tunaipata tunapoambiwa wapenzi wetu wameshika mimba ungekuwa tunaupata kabla ya kufanya mapenzi na hao wapenzi wetu, walahi masafa mtume, mahusiano yangekuwa matamu kweli, lakini wapi bwana. Mwanamke atakavyogeuziwa kibao, hata hawezi kuamini kama huyu ndo yule mwanaumme alokuwa akimsifia kwa maneno matamu tamu na miungurumo ya ajabu ajabu kunako sita kwa sita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom