Kumbe nchi hii kuna watu bado wanajilipa posho 400,000 kwa siku?

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Au kwasababu ni mtoto wa dada???
Posho.jpg

Posho2.jpg

Wakimaliza siku 90,kila mmoja anaweza kununua gari 5 aina ya Noah!Yaani kama zile tunazosubiri za makinikia!
 
Watu wamebadilisha tu style ya kupiga badala ya ile ya zamani kila mtu kupiga kivyake sasa hivi wanapiga kwa kikundi kuanzia juu mpka chini.....Nchi inapigwa mbaya sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote...Ndiyo maana unasikia tu Kodi zinakusanywa mno hadi za majengo nyumba ambazo hata hazijapimwa lakini hizo pesa hazionekani zimeenda wapi....
 
Ina maana wanakusanya pesa za uchaguzi,yaani maandalizi yameshaanza
 
Kama una huo uwezo wa kupata taarifa kwanini usipeleke Takukuru au Polisi au nenda mwenyewe kwa Rais na hizo doc zako?

Sasa wewe unapeleka kwa huyo Dada Mange ili afanyaje Sasa...at the end inaonekana ni udaku tu hazina ukweli ni za kutunga tu hizo.

Na huo ukweli wako utapita tu ka taarifa zingine nyingi tu alizozitoa huyo Dada Mange zimepita tu hata kama may be zilikuwa zina ukweli lakini zilipuuzwa tu na zikawa si habari tena za maana.
 
Kuna watu waliwahi sikika wakisema sasa ni "zamu yetu" wengine zenu zilishapita mtulie.

Anyways I don't mind Kama kazi zinafanyika Kwa mujibu wa taratibu na wafanyakazi wakafurahia kazi,

Tatizo ni pale kuna kada zinadharauliwa na nyingine kuonekana kama hazina umuhimu katika kuiaidia nchi....

Hivi mikodi yote Hii na bado ufuatwe na TRA nyuma nyuma kama muuza bangi alaf pesa ziliwe na wachache.......

How dare you say that you are making a corrupt free country? Au danadana za serikali ya wanyonge......... Looks like a BS to me!
 
Back
Top Bottom