Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,870 155,831 Dec 6, 2012 #2 anajipendekeza hana lolote huyo
NAPITA JF-Expert Member Apr 2, 2012 5,076 2,243 Dec 6, 2012 #3 msanii mpaka kwenye mapozi ya kukaa bongo move mpo hapo msajilini atawafaa sana.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,097 Dec 6, 2012 #4 Halafu alimuacha huyo bibi bila hata kumnunulia viatu
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,957 93,938 Dec 6, 2012 Thread starter #6 Safari_ni_Safari said: Halafu alimuacha huyo bibi bila hata kumnunulia viatu Click to expand... anaitwa Bibi Antonia Mbagalla
Safari_ni_Safari said: Halafu alimuacha huyo bibi bila hata kumnunulia viatu Click to expand... anaitwa Bibi Antonia Mbagalla
SEMBE WA LUSANGA Member Apr 6, 2012 97 34 Dec 6, 2012 #9 Nammpenda sana Rais wangu, Mungu amjalie Siha njema. Hana kisirani yeye ni mpenda watu na asiye na makuu!
Nammpenda sana Rais wangu, Mungu amjalie Siha njema. Hana kisirani yeye ni mpenda watu na asiye na makuu!
samilakadunda JF-Expert Member Oct 13, 2011 1,780 354 Dec 6, 2012 #11 Hana tofauti na wanae wanaopanda bodaboda na bajaji
N Ngekewa JF-Expert Member Jul 8, 2008 7,705 1,288 Dec 6, 2012 #12 Picha za namna hii zilikuwapo wapi zamani au tuseme mtandao umeamuwa kuwa active sasa? Nafikiri si muda mrefu wengine watafuatisha!
Picha za namna hii zilikuwapo wapi zamani au tuseme mtandao umeamuwa kuwa active sasa? Nafikiri si muda mrefu wengine watafuatisha!
Nish JF-Expert Member Jul 22, 2011 730 114 Dec 7, 2012 #14 Bujibuji said: anajipendekeza hana lolote huyo Click to expand... Rais wetu muungwana bwana hana Makuu na mtu,muda si mrefu tutaanza kumkumbuka.
Bujibuji said: anajipendekeza hana lolote huyo Click to expand... Rais wetu muungwana bwana hana Makuu na mtu,muda si mrefu tutaanza kumkumbuka.
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,470 Dec 7, 2012 #15 SEMBE WA LUSANGA said: Nammpenda sana Rais wangu, Mungu amjalie Siha njema. Hana kisirani yeye ni mpenda watu na asiye na makuu! Click to expand... Kweli anapenda watu, tena watu wote kiasi anawapa TWIGA na kuwasamehe walioiba fedha za uma. Anawaambie warudishe tu
SEMBE WA LUSANGA said: Nammpenda sana Rais wangu, Mungu amjalie Siha njema. Hana kisirani yeye ni mpenda watu na asiye na makuu! Click to expand... Kweli anapenda watu, tena watu wote kiasi anawapa TWIGA na kuwasamehe walioiba fedha za uma. Anawaambie warudishe tu
C chilubi JF-Expert Member Sep 21, 2011 8,182 6,214 Dec 7, 2012 #16 Waafrika hakuna utakalofanya wakakusifia zaidi ya kukuponda! JK yupo juu......