Kumbe namna ya kula yatupasa kujifunza

Wweeweeeeeeeee

Samahanini wasomali ila upande wa kula noooooo

Wakila wali watamwaga punje meza nzimaaaaaaaaa

wasomali wanaongoza kwa kula ''vizuri'' ukiwa na roho ndogo huli nao au kuwa karibu yao.. yaani kwanza wanaongea sana wakati wa kula then chakula wanapenda sawa wali na wanaweka mchuzi kibao kwenye sahani moja hata kama wako 10, wote wanachota humo mikono inajaa michui na wanajifyonza na wanakug'utia tena ile michuzi kwenye sahani... but one thing is for sure wana enjoy sana mlo
 
I hate that...

Halafu unakuta anajiongelesha ongelesha ptuuu

Kuna shosti huyo alikuwa anakula vibaya...yani akianza kula mnatafuta safari ya kwenda....manake kama beberu....mtchaaa, mtchaa, mtchaaaa....mwenyewe alikuwa anaona swagaaaa...ni karaha kwa kweli.
 
wasomali wanaongoza kwa kula ''vizuri'' ukiwa na roho ndogo huli nao au kuwa karibu yao.. yaani kwanza wanaongea sana wakati wa kula then chakula wanapenda sawa wali na wanaweka mchuzi kibao kwenye sahani moja hata kama wako 10, wote wanachota humo mikono inajaa michui na wanajifyonza na wanakug'utia tena ile michuzi kwenye sahani... but one thing is for sure wana enjoy sana mlo
Kama ulikuwepo vile. Hawa jamaa ni noma sana.
 
wasomali wanaongoza kwa kula ''vizuri'' ukiwa na roho ndogo huli nao au kuwa karibu yao.. yaani kwanza wanaongea sana wakati wa kula then chakula wanapenda sawa wali na wanaweka mchuzi kibao kwenye sahani moja hata kama wako 10, wote wanachota humo mikono inajaa michui na wanajifyonza na wanakug'utia tena ile michuzi kwenye sahani... but one thing is for sure wana enjoy sana mlo

Aisee hii comment imenitapisha wali maharage wangu mtamu woote..just imagining jinsi hao wasomali wanavokula :doh:
 
kwa mnyamwezi adabu ya kula ni somo mtoto hupewa akiwa bado mdogo... hasa zamani siku hizi kidogo na kuoleana mambo yamebadilika.. imagine mnyamwezi anapenda mlenda,, lakini huwezi kuukuta mlenda u trace yake kwenye ugali wake mweupeeee.... zamani walokua wakila vibaya huambiwa ''huyu anakula vibaya kama muha'' (samahani waha wenzangu)
 
Wanawake wa siku hizi kweli bomu.. hivi mtu anatafuna vibaya ndo kisa cha kuvunja uhusiano nae kweli?? hivi kama kasoro ndogoo kiasi hiki zingekuwa zinazingatiwa natumaini hata wazazi wetu wasingeweza kuoana kamwe.. unajua na wewe una nini ambacho jamaa hakipendi kutoka kwako??
 
mi nimeshangaa mkuu Kinyozi wetu yan umuache mtu sababu anatafuna vibaya daaah sis wanawake ipo shida hapo ni suala la kukaa na kuongea nae kuna matatizo mengine ni makubwa zaid ya hayo chukulia kama pungufu la mtu
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa siku hizi kweli bomu.. hivi mtu anatafuna vibaya ndo kisa cha kuvunja uhusiano nae kweli?? hivi kama kasoro ndogoo kiasi hiki zingekuwa zinazingatiwa natumaini hata wazazi wetu wasingeweza kuoana kamwe.. unajua na wewe una nini ambacho jamaa hakipendi kutoka kwako??

Sina hakika km umenielewa vzr. Lkn yuko kwenye mchakato wa kujaribu kumwelekeza lkn sio kwamba amemwacha. Lkn pia usisahau unachoweza kiona cha kawaida kwako, kwa mwingine ni cha hatari. Na dhana ya uzuri au ubaya wa kitu ni ngumu kuielezea. Bali ipo kichwani mwa yule anaeielezea.
 
Jamani miaka 30 hakuna mtu aliyemwambia? Nakumbuka boarding school watu walifundishana maisha. Nakumbuka kulikuwa na homeboy akianza kupiga mswaki, basi watu wote wanasikia kichefuchefu. Watu wakampeleka shule. Akaacha.
 
Wapo wale wanaokunywa chai kwa kuivuta kama wanapiga mbinja, wapo wale wanaokula wali kwa mkono kisha mkono mzima wanaingiza mdomoni. mmmmmhhhhhhh
 
Hayo ni matokeo ya kutofunza watoto namna ya kutafuna chakula......

Kuna wale wanaokula kama wanakimbizwa

Kuna wale wanaotafuna (samahani) kama jibwa...mchwaa mchwaaa mchwaaa

Kuna wale wanaotafuna mdomo wazi... utaona chakula chooote .... hapa usipotapika wewe shujaa

Kuna wale wanaotafuna huku wanaongea si kurusha mate/vyakula wanavyotafuna kwenye sahani za wenzao

Kuna wale wanaolamba vidole plus kupiga mbweu katikati ya mlo

Huyo dada awe muwazi...amwambie huyo kaka na kumfundisha namna ya kutafuna... ingawa kumfundisha mtu mzima ni kazi ila itamsaidia huyo kaka

Umesahau wale wanaokula wali kwa mkono wakiingiza chakula mdomoni kinachobakia wanakung'utia kwenye sahani Tena! Teh Teh by the way umenichekesha eti mchwaaaaa mchwaaaa
 
Jamani mnazungumzia chakula kipi, kwa maana chakula cha usiku kina maana pana kwaiyo
tuwekane wazi.
 
Wengine wakiwa wanamalizia soda/juice,mwisho anaivuta kwa nguvu hadi kutoa sauti kama nylon linapulizwa na upepo.Balaa.
 
jifunze ku hit theme ya post yako. Maneno mengi tunachoshana.

Sorry. Wala sijamalizia soma.

Nadhani si lazima usome hadi mwisho/hujalazimishwa kusoma hadi mwisho. Na katika kuandishi, nadhani haya si "maneno mengi". Unless kuzoea cheap topics, cheap comments...na kwa jamii kubwa kama hii si rahisi aridhishe kila mtu.

Kurudi kwenye mada, bado nitakubaliana na wengi kuwa moja ya vitu tunavyo vichukulia vidogo katika malezi huonyesha shida kubwa baadae mfano, Nidhamu wakati wa kula.

-Kuna watu pa "wanaopiga stori" wakiwa na chakula mdomoni
-Wapo wale wenye kutafuta huku midomo ikiwa wazi.

na tabia nyingine tunazilea sisi wenyewe mfano mtoto mdogo amepewa Bubblish/Chewing gum na anatafuna kwa sauti kama Nguo inashonwa na fundi cherehani (no offence), ni vitu vidogo inabidi kuvirekebisha.

Mkuu Rumburia, nadhani ni vyema kumueleza huyo mhusika, vinginevyo inaweza kuwa adhabu kila mtu akifikiria kupeleka wageni, ndugu nyumbani, au pengine kualikwa kwenye tafrija mbali mbali unaweza kuwa unakimbia kila inapofika muda wa kula.
 
Thank you so much, point taken.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom