Kumbe na sisi tukiamua tunaweza

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wandugu poleni na mchoko wa siku nzima,
Kumbe na sisi tukiamua tunaweza tumeona Tunisia, Misri na kinachofuata...............tuchangia mada hii wandugu,Nasema tena DOWANS tumechokaaaa pesa za kwetu walipa KODI. kura yangu nilipeleka CHADEMA UBUNGO je wewe maamuzi yako baada ya Misri???:A S crown-1:
 
Back
Top Bottom