Kumbe mwakyembe husahau mapema hivi!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,908
2,889
Huyu bwana ni zero kweli akiwa mwenyekiti kamati ya richmond hawakumhoji fisadi lowasa huku kwa makonda anataka ahoji upande wa pili. Naanza kuamini huyu ni bingwa wa kutumika!
 
Kwan hamjui maana poisonous?

Mlishawahi kumwona mtu aliyekunywa sumu na kuwa kama rangi ya mkaa?

Nadhan ubongo wa jamaa uko hivo...
 
Huyu bwana ni zero kweli akiwa mwenyekiti kamati ya richmond hawakumhoji fisadi lowasa huku kwa makonda anataka ahoji upande wa pili. Naanza kuamini huyu ni bingwa wa kutumika!

kyembe kwa kujikomba anaongoza Tanzania, halafu mnafiki sana
 
Aliambiwa hivi na mkuu wake wa ajira "Mwakyembe nenda kapige kazi" kwa hii kauli inaonekana kabisa jamaa ndiyo anatumika kwenye madili alam
 
Back
Top Bottom