Kumbe mtangazaji mwana Dada Jane John wa TBC ni shabiki wa kutupwa wa Yanga.

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Hakika Mtangazaji Jane John amekuwa Na wakati mgumu wa kutangaza michezo Leo SAA 2.00 wakati wa taarifa ya habari TBC kwani ushabiki Na matokeo ya kufungwa Na TP Mazembe yamemnyong'onyeza.Pole sana Dada Jane Chezea TP Mazembe wewe.
 
Umekosa cha kuandika?
 
Back
Top Bottom