mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,251
Hakika Mtangazaji Jane John amekuwa Na wakati mgumu wa kutangaza michezo Leo SAA 2.00 wakati wa taarifa ya habari TBC kwani ushabiki Na matokeo ya kufungwa Na TP Mazembe yamemnyong'onyeza.Pole sana Dada Jane Chezea TP Mazembe wewe.