Kumbe mnapofokea wafanyabiashara lengo lenu ni hilo? Sisi mnatwambia mnawanyoosha kumbe..!!

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Jamani, naomba nitoe maoni binafsi baada ya kuona mambo ya BMWX6.

Utawala huu ulipoingia madarakani, walikuwa na kasi kubwa ya kushambulia wafanyabiashara kwa tuhuma nyingi.

Bandarini, sukari, migodi, kila mahala wafanyabiashara walihenyeshwa mpaka juzi kwenye madawa ya kulevya na mpaka sasa Yusuph Manji kakaliwa kooni(labda alikataa kutoa range rover).

Sasa tumejua lengo la kuwaandama watanzania hawa ambao walifanikiwa kujikomboa kiuchumi ....kuna kitu kinatakiwa kutoka kwao.

Sisi tunashangiliaga kwenye mikutano eti "nchi inanyooshwa" kumbe watu wananyoosha maisha yao,wanawagombania wafanyabiashara kama mpira wa kona. Kumbe wana lao jambo, wanataka kitu!!

Wananchi hii ndio Plato aliita "allegorly of the cave" mkija jukwaani mnajifanya kututetea masikini dhidi ya matajiri, pembeni kumbe kuna kitu mnakitaka kutoka kwa matajiri.

HUWA WANAFOKAAA WEE lakini ghafla kimya na mambo yanaishia hapo, kumbe kuna jinsi yanamalizika.

Manji uchune hivyo hivyo, jasho lako walijua mwenyewe ulivyohangaika
 
Makonda kuna kitu cha Mzee anakijua na Mzee anajua kuwa anajua. Hivyo sio rahisi kumtosa kwani Mzee anajua kuwa dogo linaweza kuropoka ikawa noma.
Ila hatari ni kuwa MTU anaweza kupotezwa ili kuua soo
Hakika.....idara husika ya serikali ihakikishe inavunja vunja mahusiano binafsi yanayopitiliza na kumfanya rais ashindwe kuhudumia watanzania sawasawa.

Wale wapambe wote waondolewe karibu naye

Mifumo ya serikali(system )ndio iwe rafiki wa rais.

IGP,TRA na mifumo ambayo muundo wake ni kujali maslahi ya taifa na si upambe
 
Dah! Aisee Duniani Ujanja Ujanja kama mzembe utabaki huna kitu kumbe ndo hivyo aisee, masikio yamesikia na macho yameona kule Instagram document zote sijui muafaka utakuaje?
 
Jamani,naomba nitoe maoni binafsi baada ya kuona mambo ya BMWX6.

Utawala huu ulipoingia madarakani,walikuwa na kasi kubwa ya kushambulia wafanyabiashara kwa tuhuma nyingi,

Bandarini,sukari,migodi,kila mahala wafanyabiashara walihenyeshwa mpaka juzi kwenye madawa ya kulevya na mpaka sasa yusuph manji kakaliwa kooni(labda alikataa kutoa range rover)

Sasa tumejua lengo la kuwaandama watanzania hawa ambao walifanikiwa kujikomboa kiuchumi ....kuna kitu kinatakiwa kutoka kwao.

Sisi tunashangiliaga kwenye mikutano eti "nchi inanyooshwa" kumbe watu wananyoosha maisha yao,wanawagombania wafanyabiashara kama mpira wa kona

Kumbe wana lao jambo,wanataka kitu!!

Wananchi hii ndio Plato aliita "allegorly of the cave" mkija jukwaani mnajifanya kututetea masikini dhidi ya matajiri,pembeni kumbe kuna kitu mnakitaka kutoka kwa matajiri.

Manji uchune hivyo hivyo,jasho lako walijua mwenyewe ulivyohangaika
Hii habari imenistua hata mimi, na nadhani hii ni part gazeti.

Mungu ni mkuu. Watanzania tuendelee na sala zetu la kuliombea taifa la Tanzania.
 
Hii habari imenistua hata mimi, na nadhani hii ni part gazeti.

Mungu ni mkuu. Watanzania tuendelee na sala zetu la kuliombea taifa la Tanzania.
Na hayo magorofa ya mwanza kweli kwa mshahara wa milioni tano wa mkuu wa mkoa?

Nasikia wazazi wake wanaendesha Harrier New Model mpya huko mwanza,baba lake mama lake

Kweli ni part gazeti
 
Off topic:
Mange anaandika vitu huku anatia supporting docs kutoka TRA na picha na video za vitu husika.

Wanaompinga Mange wanasema tu hana akili, hajielewi, siku zote alikua wapi. Hawa ukikutana nao jf wanakwambia wewe ni dealer na maslahi yako yameguswa, ila Bashite anazunguka na watuhumiwa hawasemi wapo kimya.

Bila yule mwanamke ningejua tu Bashite aliiba id ya mtu baada ya yeye kuaminiwa na kugewa data ndiyo najua Bashite pia ni corrupt na hana akili.
 
Tangagizaaa......baba anaonaa mwanae kashaunyea mkono amebaki anautizama ajui afanyajeee...
 
"Wanaolalamika maisha magumu ni wapiga dili....."

Wapiga dili wako kwenye pua ya nchi,anakusakizia jambo,anakwambia lete hiki,hutaki,nenda jela kama manji,just like that !!
 
Kwani mlikuwa hamjui.Kuna yule mkubwa mkali sana yeye anajengewa nyumba ya gorofa kijijini kwao na waarabu flan wafanyabiashara.Hawa watu kuwaamini ni kama kuweka kopo la sukari mbele ya watoto watundu!!
 
Back
Top Bottom