Kumbe Mnanimiss! Mbarikiwe...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo.

Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!!

JF iko Juu ALWAYS
 
Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo. Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!! JF iko Juu ALWAYS

mbona hao jamaa wako peace sana?.............au uliingilia mlango wa kutokea ndo maana
 
Bwabwa rudi bana..ukubwa ndo ulivyo mie babu yako mpaka umri huu nishagombana sana ...usiogope kupingana na watu.Ukiona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi sana
 
E bwana eee mzee kumbe upo? Nasubiri kuona safari hii unakuja na kitu gani kipya!
 
Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo.

Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!!

JF iko Juu ALWAYS

Nashukuru kufahamu upo, hureeeeeeeeeeee! haya tuwasuiliane tafadhali.
 
BWABWA! Kwa kule Malindi inamaanisha mwanamume .......na wanaume wenzie!
 
Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo.

Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!!

JF iko Juu ALWAYS

yaani wewe unataka wakabiliane na changamoto ipi????yaani hiyo tabia yako inayoendana na jina lako ni changamoto ndani ya jamii?????
 
Mimi simfahamu bwabwa labda nitembeleeeeee profile yake maana naona jamaaa ni matata sana watu wanakugwaya na wameshtuka kukuona tena
 
Laanakum afritnum haramkhun, hamna anayekumiss wala nini. Yaani wewe unaingia kwa ID nyingine halafu unaanzisha thread ya kujimiss mwenyewe..Kaaz unayo mwaka huu.
 
Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo.

Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!!

JF iko Juu ALWAYS

Mimi ni Tripo9 na wala sio tripu999 tafadhali.

Bwabwa, ndugu yangu ukibadili tabia (hiyo unayoiita 'changamoto')wote tutakupenda!
Asante.
 
BWABWA! Kwa kule Malindi inamaanisha mwanamume .......na wanaume wenzie!

huyo alishajitambulisha kuwa ni shoga wala hana kificho kabisa na ndio maana akajiita bwabwa kwa maana hiyohiyo ya Malindi
 
Mimi ni Tripo9 na wala sio tripu999 tafadhali.

Bwabwa, ndugu yangu ukibadili tabia (hiyo unayoiita 'changamoto')wote tutakupenda!
Asante.
Hivi nyie mnauhakika gani kama huyu ni BwaBwa kweli?
 
Yeye mwenyewe ndo kajitangaza mkuu.
Hebu muulize hiyo changamoto alotuletea ni ipi! Kama sio ya kujitangaza hapa yeye ni 'BWABWA'. Tembelea threads zake pia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom