Kumbe Mkapa bado ni Rais wa Tanzania??

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
bm4.jpg


Nimeikuta hii kwa michu, eti BWM anajiita President, 1995-2005 badala ya kujiita Former Tanzania President 1995-2005... Anyways ni bora angeendelea kuwa Presidaa maaana ni kama hatuna Presidaa vile...
 
bm4.jpg


Nimeikuta hii kwa michu, eti BWM anajiita President, 1995-2005 badala ya kujiita Former Tanzania President 1995-2005... Anyways ni bora angeendelea kuwa Presidaa maaana ni kama hatuna Presidaa vile...

Mi nafikiri hajakosea kitu hapo, Ila bado ana Matongotongo ya URAIS hayajamtoka.
 
Yaa bado ni president.... Si nasikia alimkoromea JK kipindi cha kupanga baraza la mawaziri....alitaka aweke baraza la kishkaji ndipo Mkapa alipokuja juu na kumuonya kwamba mambo yakimwendea mrama kamwe asiwaite!!! Mkapa alimwambia ahakikishe anampa Makufuli wizara nyeti ya miundombinu ili wizara hiyo irudishe uhai wake wa zamani....
 
Nothing is wrong here he was presdaa from 1995 - 2005! Siku ameandika hayo masikitiko yake kwa watu wa Japan ni tarehe 25/03/2011! so what is wrong?
 
Dah ila jamaa kweli lilikuwa Presidaaa cheki mwandiko wake unaonesha kabisa ni wa A LEADER!! mwandiko swaafi saaana MKAPA Big up sana baba TUNAKUMISS MNOOOO ingawa mikataba yote feki na madili ya deep green, meremeta ilifanyika chini yakoo mkuuuu, unapaswa uje useme kwa nini mlituibiaaaaaaaa, au vipi che Nkapa!!
 
wa ukweli mkapa dili ya kiwira vipi imetema? umesharudishiwa advance yako
mkuu?
 
kanifurahisha sana statement yake alivoandika ..angekuwa ****** hiyo page isingesheheni kiingredha sahihi level ile?? hahaha BWM nakumiss bana
 
It's o.k, he was a President as he has written. Wacha Mzee apumzike Bwana unamwandika hapa kwa nini sasa?
 
[QUOTE Nimeikuta hii kwa michu, eti BWM anajiita President, 1995-2005 badala ya kujiita Former Tanzania President 1995-2005... Anyways ni bora angeendelea kuwa Presidaa maaana ni kama hatuna Presidaa vile...[/QUOTE]

Post kama hizi mtu unajihaibisha bure tu!!! LOL!!! Unanikumbusha enzi zile nikiwa primary school kwenye darasa la kiingereza jamaa yangu alishushiwa dhoruba na mwalimu kwa sababu ya mazoea yake ya kusema " Teacher, May I Repeat again my answer to your question? El Toro Ukisema President halafu ukataja miaka mfano President 1995 - 2005, hakuna tena haja ya kutumia neno former kwa sababu hiyo miaka ilishapita (hiyo ndo maana ya u former) vinginevyo utakuwa unarudia kitu kile kile kama jamaa yangu enzi hizo. Lakini ukipenda unaweza kutumia neno former president but hiyo miaka ya u former sharti iwekwe kwenye mabano yaani Former President (1995 - 2005).
 
bm4.jpg


Nimeikuta hii kwa michu, eti BWM anajiita President, 1995-2005 badala ya kujiita Former Tanzania President 1995-2005... Anyways ni bora angeendelea kuwa Presidaa maaana ni kama hatuna Presidaa vile...

Nadhani hajakosea. Ukishaweka timeline(duration)ina take care hicho cheo alichotaja. Baadhi ya vitabu vya magharibi vinaandika hivyo pia.
 
Ungekuwa muhimbili umeshapigwa penati yupo sahihi coz kaspecify ni presida kwa kipindi kipi. Asingeweza sema ni former presida afu akaweka na vipind alivyotumikia angekuwa anajipinga. Kumbuka hesabu za logic na electronics physics pale enzi hizo. Ndo ujue kuwa Mkapa alikuwa kichwa ukifikiria juu juu utasema kakosea lakin yupo sahihi kabisa. Big up Kapa boy.
 
Achana na Mkapa bwana, kile kichwa, sema tu alizidiwa nguvu na "delila" akafisadalize. Hilo ni jambo la kawaida kwa mwanaume yoyote yule
 
Mwanzisha thread umechekemka.Mode anzisha jukwaa la kindergarten thread kama hizi ndio zinatakiwa ziende huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom